Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Mara ajiunga CCM

Hana lolote amashindwa kuiba ndio maana kakimbia, amsaidie fisadi Veda kudai madawati LOOSES hana hata hekima ya KUKU of all people anarudisha kadi yake kwa Veda, This gus is so stupid I wonder how he got to be cdm regional official, any way is good that he is now gone.

CDM hatutakaa tuwakumbatie wendawazimu kama hawa, wakisema tunataka kuondoka no kubembeleza tunamruhusu atembee zake na sisi tuendelee kujpanga na makamanda waukweli watakao weza kunywa maji kwa kutumia muhogo bila kulalama

VIVIA cdm kwakuweza kushinda maana sasa CCM imegeuka kuwa chama pinzani
 
asante never kwa kutuweka sawa..

mkuu walizani CDM kuna posho, kofia, kanga, kumbe *ndivyo sivyo, makamanda wanadhamira ndiyo maana CDM imepanda na kufika hapa ilipo sasa hawa sisimizi wanataka tupigizane nao kelele wakati wapo kwenye giza? CDM viva*
 
Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi. Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani

Hapa sasa mambo yanaanza kuiva,kwani cha ajbu nini katibu kuhama chadema kama shibuda alihama ccm kwa kusema ni chama kilichokosa muelekea akenda shinyanga chadema wakampa uenyekiti wa mkoa,akaibuka Mbowe akasema out! hizi ndo siasa za bongo ccm au chadema wote ni wehu tofauti ni tarehe za kuchanganyikiwa
 
du poleni cdm inauma na inakera kweli na mpaka 2015 hop mikoa yote watakuwa tayar wamehamia ccm.wakati nipo cdm niliwashaur pale wakina slaa waboreshe makazi ya viongoz wa wilaya na mikoa kujenga chama, nikajibiwa cc tutazunguka mikoan kujenga chama wao wajitolee tu,ok am hoping wanaendelea kujitolea
 
Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi. Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani More UP DATE to follow
Safi sana, aondoke twataka chama kiongozwe na wanachama wadhati sio mamluki wa ccm!
 
ongea na wanaCDM walioko Mara ili upate upande wa pili wa habari hii..huyu mtu alishafukuwa, akafutwa na uanachama....mnaofikiri amehama mnamfanikishia malengo yake ya kuwa hadaa wanaMagamba kuwa amerudish kadi...hiyo kadi ilishakuwa deleted,yeye alibaki na karatasi tu

Mkuu eleza basi alifanya nini na amepania nini, mimi niko Mali unataka nuende Mara kwa sababu ya habari hii??
 
Back
Top Bottom