Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Mara ajiunga CCM

Breaking News: PIGO CHADEMA MARA

Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi.

Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:

  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge

Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani

More UP DATE to follow

Sasa huyu si aliwawekea dhamana kina Lissu kule, itakuwaje sasa? atafuta dhamana?
 
CDM hatutaki watu wenye utapia elimu huku, akaungane na wenzake wenye kwashiorkor za elimu ccm.kwa CDM yule ni makapi tu.
 
Hongera mwanangu wee hongera nasi tuhogeree wee hongera!

Jama lina uma mno wee!


Ukishajichanganya na wanamapinduzi wa kweli wakati mwingine kujawa chembe za unafiki inakuchukua muda tena kuimudu hali hiyo: Jamaa kaanza kumwaga bayana kwa jinsi vigogo wa CCM musoma Vijijini walivyohakikisha kuwa wanamuangusha kwa nguvu zote Mathayo Manyinyi. Hapa sijui anamaanisha mzee Kikofia mmoja wa wapora rasilimali za Taifa?????
 
CDM hatutaki watu wenye utapia elimu huku, aende akungane na wenzake wenye kwashiokor za elimu huko magambani. kwa CDM yule ni makapi tu, akafie mbali kama shitambala kwani hana jipya
 
Siasa za Tanzania bana ..........Ubabaishaji mtupu

Njaa kitu kibaya sana jamani....

Nyepesi nje ya kikao si rasmi....Inadaiwa jamaa kavuta fungu Uero kadhaa...Ngoja nisake details zaid kwa muda huu ambao bado navinjari katika viunga vya mji wa Musoma
 
Kama ni kweli hata haitii presha,chadema kuna makamanda wengi na wa ukweli
 
nilisema mimi ! Kuwa kile chama cha magamba kina wajinga na mapunguani !

Aaaha katika kipingele hiki jamaa kidogo alinitia mashaka:

Ati anadai CHEDEMA Tarime walimpandikiza Waitara kwa Nguvu za P.H.D ili kuhakikisha Mwita Nyanguru Mwera anaondolewa kwa kuwa hakuwa Chagua sahihi la wakuu CHADEMA, Sasa huu unafiki maana kama katibu alishiriki kupitisha majina haya.

Wadau huko makao makuu fungukeni macho hii anthrax imeibuka hapa Musoma, na ukizingatia Mbunge yupo mjengoni nyumba itatiwa moto hapa
 
Breaking News: PIGO CHADEMA MARA

Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi.

Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:

  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge

Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani

More UP DATE to follow

hahahahaha!

simply laughed off!!!

to hell with him!!

hao ndiyo wanaitwa malaya wa siasa.
 
Ghost Ryder tupe habari. Ila mwambie kuwa akiondoka mmoja CDM wanajiunga elfu 1
 
Uhuru una maana nyingi sana.......leteni updates
Jamaa katumia uhuru wake apendavyo yeye.
Lakini haya tuliwaambia siku nyingi humuhumu JF kwa wale ma-coconut wa CDM juu ya issues za viti maaluma, ufisadi ndani ya chama na mengineyo.
Haya yalitokea Mbeya na sasa Mara, nyie ni matusi na kufunika vichwa kama mbuni ardhini!!!!
Msije shangaa megi zaidi, kwani huwa hamkai kutazama makosa yenu, makosa ni ya mgamba tu!
Nina uhakika you dont know what will hit you next
 
Kama ni kweli hata haitii presha,chadema kuna makamanda wengi na wa ukweli

Fuatilia Media nyinginezo kuanzia saa mbili ndo ujue hii setup ilivyotengenezwa maana ututiri wa media uliokuwepo ni ushahidi tosha wewe kuamini subiri hilo muda si mrefu kutoka sasa
 
Chadema tuendelee kujenga chama na kuacha wenda wazimu hawa. Tunajua haya majambazi tunayo ndani ya cdm na yaliingia kwa mipango ya kufikiri cdm inatoa marupurupu na fedha za posho na sasa wameona wazi cdm ni movement sio kitu cha mzaazaa...rudini kundi la majambazi na wahuni ili familia zenu zile pesa zilizotengwa ndani ya bajeti....maskini wa akili ndio nyie.

Viongozi wetu Chadema tunawasihi kutafuta fedha zote za ccm zilizotengwa kuvuruga demokrasia na justice system ya Tanzania. Mkullo, Ndulu na kikwete ni wezi wakubwa hawa na tunajua purpose kubwa ya bajeti siku zote ni kutafuta posho na marupurupu ili wajenge na kuendelea kusomesha watoto wao nje ya nchi badala ya ku-improve education system ya nchi.
 
Aaaha katika kipingele hiki jamaa kidogo alinitia mashaka:Ati anadai CHEDEMA Tarime walimpandikiza Waitara kwa Nguvu za P.H.D ili kuhakikisha Mwita Nyanguru Mwera anaondolewa kwa kuwa hakuwa Chagua sahihi la wakuu CHADEMA, Sasa huu unafiki maana kama katibu alishiriki kupitisha majina haya.Wadau huko makao makuu fungukeni macho hii anthrax imeibuka hapa Musoma, na ukizingatia Mbunge yupo mjengoni nyumba itatiwa moto hapa
kile chama/ccm, hakina great thinkers ! Naweza leo kuibuka na mitusi dhidi ya CuF AMA CDM, nikapewa madaraka ! Kile chama kinakufa kabisa, wamekosa watu makini, mfano , tazama mashabiki wao wengi humu Jf kama Jeykey, Ms, Foxy n.k nikielelezo cha chama cha wajinga na mapunguani.
 
Ghost Ryder tupe habari. Ila mwambie kuwa akiondoka mmoja CDM wanajiunga elfu 1

Mwandishi maalum wa UHURU alikuwepo hapa kutoka all the way from Dar kama Musoma akina Marato na wenzao hawapo ili kuhakikisha kesho ukurasa unapambwa na kandamizi hili ambalo sina shaka linalenga kudelute hoja ya POSHO ambazo hawa wakubwa wamegoma kuzisalimisha.

Katika kuonyesha ubinafsi anadai kuwa zimetolewa shilingi milioni nne kulipia ofisi ya Chama na kuwa zimezua sokomoko kubwa na baadhi ya wadau wametaka kuzitafuna.. Sasa kama si yeye mwenye uchu ndo amekimbia baada ya kuwekewa mtima nyongo tueleweje hapa.

Hawa wanasiasa kabila hii, upupu mtupu
 
Back
Top Bottom