Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 753
satelite ndo zimetumika,hakuna mtu ambae angechora kwa kutumia akili yake au mikono yake,
Satelite hazikuwepo wakati ramani ya Dunia inachorwa kwa mara ya kwanza.
satelite ndo zimetumika,hakuna mtu ambae angechora kwa kutumia akili yake au mikono yake,
Nisubiri.NIPITE TU HAPA
Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule aliyechora ramani ya dunia yeye alikuwa amekaa wapi.
Namaanisha alikuwa ndani ya ule mhimili au alikuwa nje ya ramani na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gani sasa?
Nawasilisha...
Alikuwa Afrika na ni mababu zetu wakati wakitawala ulimwengu huu mika 3500 B.C.E.Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule aliyechora ramani ya dunia yeye alikuwa amekaa wapi.
Namaanisha alikuwa ndani ya ule mhimili au alikuwa nje ya ramani na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gani sasa?
Nawasilisha...
Sina jibu la swali lako, ila swali ni zuri sana ngoja nikawaulize wataalamu wa QUORAWakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule aliyechora ramani ya dunia yeye alikuwa amekaa wapi.
Namaanisha alikuwa ndani ya ule mhimili au alikuwa nje ya ramani na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gani sasa?
Nawasilisha...