Aliyechora Ramani ya Dunia yeye alikuwa amekaa wapi?

Ikubukwe kuwa ukianza kufuatilia Raman ya dunia watu walikuwa wanafikiria dunia ni kama meza kipindi hicho wengi waliamini, mtu 1 alikuja kubadili mtazamo huo baada ya kutoka point 1 kusafiri nahisi alitumia ndege siku ya siku baada ya kusafiri akajikuta karudi point Ile Ile ndipo tukasikia dunia ni duara shape yake kama mpira . Mpaka ugunduzi wa satellite ndo shape ya dunia tunayo iona.
 
Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule aliyechora ramani ya dunia yeye alikuwa amekaa wapi.

Namaanisha alikuwa ndani ya ule mhimili au alikuwa nje ya ramani na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gani sasa?

Nawasilisha...

ALIKAA AFRIKA NA RAMANI SIO HII UNAYOIFAHAMU WEWE. IMEGEUZWA. SWALI LA KUJIULIZA LINI POLE SHIFT ILITOKEA KIASI CHA KU
Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule aliyechora ramani ya dunia yeye alikuwa amekaa wapi.

Namaanisha alikuwa ndani ya ule mhimili au alikuwa nje ya ramani na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gani sasa?

Nawasilisha...
Alikuwa Afrika na ni mababu zetu wakati wakitawala ulimwengu huu mika 3500 B.C.E.

Nasi hii ramani unayoifahamu. Maana ramani ya leo imegeuzwa. Sasa swali la kujiuliza ni lini pole shift ilitokea kiasi cha ramani ya dunia kugeuzwa?
Ramani ya mababu zetu ilichorwa hivi:
Alkebu-lan_1260AH_HiRez3-681x960.jpg

Kumbuka Afrika enzi hizo ilikuwa haiitwi Afrika. Ilijulikana kama munda ama alkebulan. Because we circle navigate the entire global, we knew how slightly the global was and all forces act upon.

Walichora afrika kuwa juu ya ardhi zote zilizokawepo enzi hizo na ukweli huu unabaki palepale hadi leo. Afrika is the only highest land on earth that its tactonic had never drifted and remained fixed to moment.
Dhana ni kuwa waliopo bondeni ama chini ni dhaifu na wamechelewa ndio iliokawafanya wazungu wageuze ramann nakufanya bara la Afrika liwe chini. Nitaendelea.......
 
Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule aliyechora ramani ya dunia yeye alikuwa amekaa wapi.

Namaanisha alikuwa ndani ya ule mhimili au alikuwa nje ya ramani na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gani sasa?

Nawasilisha...
Sina jibu la swali lako, ila swali ni zuri sana ngoja nikawaulize wataalamu wa QUORA
 
Daa!! Mpaka sasa bado swali kuntu!!sasa hao wazee walioichora waliwezaje kuchora mipaka ya nchi za mbali wakati wao walikuwa hawajafika huko!!
 
Umeuliza swali la kizushi, naona mpaka sasa majibu yote ni ya kizushi tu sasa na wewe nikuulize swali la kizushi. Wakati unauliza swali la kizushi ulikuwa umekaa wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom