Aliyeanzisha Udini Tanzania ni Nyerere

Status
Not open for further replies.
Mr. are you ready to argue this matter intelectually?
Are you ready to feel the heat and admit your ignorance in government and all sorts of leadership styles?

well have this in your mind:

1. Serikali zote duniani zimechukua mfumo wa Musa ...ambaye yumo kwenye torati..(this could be found in bible and quran as well)!!
2. The gospel of love, equality, honesty etc, was preached by Jesus Christ who is in ( quran and bible as well)!!

Unless you are denying the facts tha Issa Bin Mariam is Jesus, or you are refuting the existence of Moses in Quran.

Go back to school buddy!

Nyerere said that simply because he believed in socialism which is purely relating to bible in many ways but not in all ways. can I ask you a question, Are Chinese christians? do Russian believe in chritianity???? they both never believed in any religion neither christianity nor islam!!!! yet they practised what is written in those two holy books precisely...It is even surprising to know that Marrying a second wife in China is illegal..bible says so! dont be surpised to hear that..in china once they caught you corrupting they kill you! is quran dont say the same thing? are chinese muslims??


Tafadhali unaweza kuthibitisha hii bold huku ukiamini hivi vitabu vinasema ukweli?
 
The conflict in Tanzania is not between Muslims and Christians but between Muslims and the government. The problem is neither inter-religious nor horizontal but political and vertical. In all political regimes, Muslims have repeatedly pointed out, with evidence, that they are being discriminated against. But before examining that evidence it is important to appreciate the magnitude and complexity of the problem.

Although the problem is political and not religious, yet it seems to me that there is a wide perceptual gulf between how Muslims and Christians look at the problem. This religious polarisation has encouraged some people to draw a wrong inference: that the problem lies in the worseningof Christian-Muslim relations.


Of course it is perfectly legitimate for intelligent people to come out with different interpretations from the same data. But why should there be a general correspondence between intellectual interpretation and religious affiliation? This shows that we are not dealing with a simple problem.


Maswali magumu, Majibu Rahisi by Jenerali Ulimwengu ( RAI , Sept 3-9) 1998

i warned you to dicuss this matter intelectually, hoping that you would do so!

In your first post...you mentioned the word christian...Jesus......your reply to my post u are depicting the problem is muslim and government!!

where the hell the word christian appeared in you first post, when you are clear mentioning the problem is far apart from christianity? where is Jesus coming from? was he a President of Tanzania?
 
Embu tujiulize maswali haya;
Endapo kama Nyerere angelikua mdini
1. Angetaifisha mali mbalimbali za mashirika ya kidini ya kuruhusu yatumike kwa watu wote bila kujali dini!?
2. Angei put Zanzibar under Tanganyikas' wings??
3. Angekubali kumkabidhi nchi Ally Hassan Mwinyi???
Fikiria!!
 
In 1970 Nyerere invited to the State House the then Secretary General of the Tanzania Episcopal Conference, Fr. Robert Rweyemamu and the Pope's Representative to Tanzania Mgr. Giovano Cerrano. Among other things Nyerere told his guests that he was doing every thing in his power to strengthen Catholicism in the country. He also requested them to go and inform the Bishops that he had established a Department of Political Education in TANU (the ruling and only political party at that time), and that he had appointed a Christian Reverend to head that department, not because of his competence as a political analyst, but because of his strong faith as a Christian. His responsibility was to guide and control the political direction of the party. He also informed them that in the Party's National Executive Committee (NEC) two members were Reverends. He said he believed that was the best way of ensuring that the party got good people(van Bergen, 1981:333-336).

Prof-kobayashi,

..nikiisoma nukuu uliyoileta hapo juu nalazimika kuamini kwamba mahusiano ya Mwalimu na Kanisa kipindi hicho hayakuwa mazuri na ndiyo maana Mwalimu alilazimika kutoa statement kama hiyo.

..kumbuka kwamba 1970 ni 3 yrs after azimio la Arusha, na pia it is around that time ambapo Mwalimu alitaifisha shule na hospitali za Kanisa. nimesoma mahali kwamba uamuzi wa kutaifisha shule za madhehebu ya dini ulichukulia kama hatua ya mwisho baada ya juhudi za kuzifanya shule hizo accessible to everybody kushindikana.

..vilevile Wakatoliki waliutambua Ukomunisti/Ujamaa kama moja ya maadui wa Ukristo. kwa msingi huo nadhani Mwalimu alikuwa na kibarua cha kuwahakikishia hao wageni wake kwamba Ujamaa aliokuwa akiutekeleza hapa Tanzania haukuwa anti-Christianity.

..pamoja na nukuu kama hizi nadhani tungeangalia facts on the ground zinatueleza nini. pia ingependeza kama tungepata nukuu za Mwalimu alipozungumza na viongozi madhehebu mbalimbali ya dini kama Wa-Islamu, Wa-Hindu, Ma-Bohora, etc etc.

..sidhani kama tutakuwa tunamtendea haki Mwalimu pamoja na historia yetu kama tutachukua nukuu moja kama hii na kuitolea conclusion kwamba tunamuelewa Mwalimu.

..NASHAURI UTAFUTE HOTUBA YA MWALIMU ILIYOITWA "THE CHURCH AND SOCIETY" . NADHANI HIYO INAWEZA KUTUSAIDIA KUELEWA MTIZAMO WA MWALIMU KUHUSU NAFASI YA KANISA KTK JAMII.
 
Kama huna data tafadhali kuwa msomaji tuu ...hii ni data based thread.

In an interview with the Christian Century of March 1, 1972, Mwalimu Nyerere was quoted as saying that his efforts to build African socialism in Tanzania represented his determination to translate in practical terms the teachings contained in The Gospel of Jesus Christ. What is wrong with that? I do not think there is anything wrong with implementing the political and economic teachings of Jesus Christ at a national level, so long as those teachings are consonant with the aspirations of the nation. In this particular case, like in the case of adapting the prayer of St. Francis above, the problem lies in the principle employed not in the details. It is wrong to use the Christian Gospels to guide the political and economic course of an avowedly secular state, even if in many instances the aspirations of the two may coincide. I am not saying it is inherently wrong to use religious books to guide the nation, I am only saying that at present it is constitutionally wrong to do so.

-Njozi, Hamza M.Mwembechai killings and the political future of Tanzania

Alisema nini?
 
Yeyote aliyeandika hii topiki ni msomi sana na inawezekana ni mmojawapo wa watu mashuhuri hapa nchini. Tatizo linakuja kwamba ni kupitia hawa wateule ndio taifa huingia kwenye maangamizi kupitia chokochoko kama hizi. Watu kama hawa hutaka kujaribu nadharia zao hasi na kwa bahati mbaya huelekea kufanikiwa. Nyerere alikufa na mambo yake. Lakini alisema, katika uongozi wake kuna mabaya pia aliyatenda. Cha msingi alisema pia tuchukue yale mema tuyaendeleze, na kinyume chake. Ningefurahi kama mleta mada kwa kuwa anamfahamu sana mwalimu, angeandika tena topiki nyingine inayohusu, mfano Azimio la Arusha. Wachangiaji hawatakosekana, kuliko kuendeleza hizi ghasia za kiimani
 
Mifumo mingi duniani imeiga mifano ya utawala wa christianity. Ukomunisti umeiga utawala wa kikatoliki. Katika katoliki kuna papa,kadirinari askofu, mapadri na makatekista/. Katika ukomunisti kuna mwenyekiti wa chama,Naibu mwenyekiti katibu, naibu makatibu,makatibu kata na makada. Kazi za kada wa chama hazina tofauti sana na zile za katekista. Yemen ya kusini walliga mfumo huu wa kikatolik walipokuwa wakomunisti.iNyerere hakuwa mdini kabisaa na wala hakuchukia mwisilamu. Kuna mwanae alibadili dini na kuwa mwisilamu halafu aliwahi kwenda kwa Gadafi kuomba pesa za kujenga msikiti kule kwao musoma. Alisomesha sana waislamu na kutaifisha shule zote zilizokuwa zinamilikiwa na wakiristo na halafu aliwapeleka ubalozini maofisa wote wa waliokuwa wanendesha shule za kidini ili wasikae nchini na kulalamika.Raisi mdini na ambaye alichukia sana wakristo hapa nchini alikuwa Ali hassaan mwinyi. Kipindi chake alileta machafuko mabaya sana kati ya wakristo na waislamu . Kumbuka jinsi alivyoruhusu wasilamu kutukana wakristo misikitini. Kila akiambiwa akemee yeye alikataa katu katu. Yeye alitaka kuonesha kuwa kaja kuwakomboa waislamu na sio kingine kabisaa. Tazma alipompatia ujiko Kigoma malima kusema sema hovyo hadhalani na kuwakemea wakristo. Naomba kabisaa kutomjadili Nyerer e kuwa alikuwa na udini. Nitaunga mkono mkono mapungufu ya nyerere katika kujenga soka na uchumi na sio kingine.
 
In 1970 Nyerere invited to the State House the then Secretary General of the Tanzania Episcopal Conference, Fr. Robert Rweyemamu and the Pope’s Representative to Tanzania Mgr. Giovano Cerrano. Among other things Nyerere told his guests that he was doing every thing in his power to strengthen Catholicism in the country. He also requested them to go and inform the Bishops that he had established a Department of Political Education in TANU (the ruling and only political party at that time), and that he had appointed a Christian Reverend to head that department, not because of his competence as a political analyst, but because of his strong faith as a Christian. His responsibility was to guide and control the political direction of the party. He also informed them that in the Party’s National Executive Committee (NEC) two members were Reverends. He said he believed that was the best way of ensuring that the party got good people(van Bergen, 1981:333-336).


It is quite obvious that by “good people” Mwalimu Nyerere meant Christians in general and Roman Catholics in particular. It is not surprising therefore that Sivalon (1992:49) reports that in the same year 1970 Roman Catholics could boast that they constituted 70% of the 75% elected Christian members of Parliament. Out of the 108 elected Members of Parliament, 23 were Muslim, 5 Traditionalist and 80 Christian. Throughout his rule Nyerere was both President and Chairman of the ruling Party. His promise to strengthen Catholicism was not an empty one. Catholics could now use Parliament to promote their religious interests if they so wished.
Ujinga huu mpelekee mdini mwenzako Njozi. Huu ni utapiamlo wa akili kwani hamna ushahidi wowote wa kuonyesha kwamba hayo yalisemwa na mwalimu mtu aliyekemea kwa nguvu zake zote ubaguzi wa aina yoyote. Katiba ya nchi ilimpa madaraka makubwa sana kama angelikuwa na mawazo yenu hayo ya kichawi basi angeyatekeleza bila shida wala kikwazo chochote, lakini kinyume alijenga umoja ambao mpaka leo hii tunauona na nyie vibwengo na uchawi wenu wa udini mnataka kuuvunja. Mkome na mkome kabisa.
 
Kama huna data tafadhali kuwa msomaji tuu ...hii ni data based thread.

In an interview with the Christian Century of March 1, 1972, Mwalimu Nyerere was quoted as saying that his efforts to build African socialism in Tanzania represented his determination to translate in practical terms the teachings contained in The Gospel of Jesus Christ. What is wrong with that? I do not think there is anything wrong with implementing the political and economic teachings of Jesus Christ at a national level, so long as those teachings are consonant with the aspirations of the nation. In this particular case, like in the case of adapting the prayer of St. Francis above, the problem lies in the principle employed not in the details. It is wrong to use the Christian Gospels to guide the political and economic course of an avowedly secular state, even if in many instances the aspirations of the two may coincide. I am not saying it is inherently wrong to use religious books to guide the nation, I am only saying that at present it is constitutionally wrong to do so.

-Njozi, Hamza M.Mwembechai killings and the political future of Tanzania



Umekosea kabisa, yaani umenoa kupitiliza (This line of thinking is total crap). Hiyo quote ya Mwalimu imechukuliwa out of context. Kumbuka kuwa ni makala iliyoandikwa na jarida la kanisa "Christian Century." Hivyo huenda kabisa Mwalimu aliulizwa swali kuwa "How does your Christian faith guide you in your duties as President of Tanzania?" or something to that effect.

Hakuna mjadala kuwa Mwalimu was a devout Christian. Alikuwa ni Mkatoliki sana, aliamini Mungu sana (God fearing) na alikuwa anapenda sana sala. Ndiyo maana hata kanisa linamfikiria kumtangaza kuwa saint.

Lakini when it comes to uongozi na mahusiano yake na watu, Mwalimu Nyerere hakuwa na udini hata kidogo. Marafiki wake wengi walikuwa ni Waislamu na hata serikali yake aliteuwa Waislamu wengi. Mwalimu Nyerere was the best leader Tanzania has and probably will never see. Kama binadamu, alikosea kwenye sera za uchumi tu, lakini he was a genius. Na ni kutokana na kutokuwa mdini na mkabila ndiyo maana Tanzania iko na umoja mpaka leo.

Mwalimu Nyerere alijua kuwa dini kwenye siasa ni sumu ndiyo maana mara baada ya uhuru tu, alitamka kuwa Tanganyika is a secular state (nchi isiyo na dini lakini inatambua kuwa wananchi wake wana imani zao za kidini).

Kwa kimombo: "A secular state is a concept of secularism, whereby a state or country purports to be officially neutral in matters of religion, supporting neither religion nor irreligion." Na Mwalimu Myerere alisimamia falsafa hii kwa nguvu zake zote.

Msidanganyike kama majuha, suala la udini kwenye siasa limeibuka juzi tu. Ni katika uchaguzi wa 2010, ambapo Jakaya Kikwete na timu yake baada ya kupata kiwewe kuwa DK. WILLBROD SLAA wa CHADEMA anachukua nchi ndiyo wakamwaga sumu ya udini kwenye siasa za Tanzania kwa kueneza propaganda za kupikwa kuwa eti makanisa ya Tanzania yanamuunga mkono DK. SLAA awe Rais na wanampigia kampeni makanisani kwa waumini wao. Hizo zilikuwa ni smear campaign za Kikwete na CCM yake tu.

TUSIDANGANYIKE!
 
Hivi ni lazima kuandika thread yoyote hata kama huna la kueleweka mbele ya watu? Profkoyabash ni mzushi, mjinga na mdini hatari ambaye anaweza kuvumiliwa na serikali ya kimagambamagamba tu kama hii tuliyonayo.
Amebuni mada ambayo kashindwa kabisa kuitetea. Ni aibu kwake, na aibu kubwa kwa waliomtuma.
Mimi mwenyewe ni muislamu lakini kwa kweli nashindwa kabisa kuuona udini wa Nyerere zaidi ya porojo za watu wasio na data zozote za ati alikuwa mdini. Ikumbukwe kwamba ni Nyerere huyo huyo tunayemnanga leo hii aliyethubutu kuzitaifisha shule zote za Kikatoliki ili wote tusome sawa, na wakati wa utawala wake wote sikusikia wala kuona dalili za mtu kubaguliwa kwa dini iwe shuleni, Hospitali au asasi yoyote. Ni viongozi wa sasa na haswa Kikwete aliyeuasisi huu unaoitwa udini ambao natabiri utalisumbua taifa hili kwa miango mingi ijayo. Historia itamuhukumu kwa uroho wake wa madaraka uliompelekea kupandikiza mbegu za udini.
Hii habari ya udini haijaja kwa bahati mbaya....inatokana na wahusika kushindwa kukidhi matarajio ya watanzania. Ili kutuvuruga na kutaka tusiwe na sehemu yoyote ya ku benchmark mtiririko wa uongozi wa taifa letu, baadhi ya wahusika wachache wanajaribu kwa nguvu kuonyesha kwamba utawala wa awamu ya kwanza ambao sijui kwanini unaonekana tishio ulikuwa na udini na udikteta. Sikubaliani na hilo maana kama Nyerere angekuwa mdini, asingetoka kimya kimya akamuachia muislamu nchi. Tukumbuke uwezo wa kuamua nini afanye alikuwa nao.Failures wameamua kumpigia debe Nyerere....bila kufahamu wanamuongezea marks hata kwa wale wasiomjua. By the way, do we need udini to forge the future of his country? Umeme tunakosa wote, maji yanatusumbua wote, richmond, atcl na TRL zinatugusa watanzania wote. Kwanini tunaposema kuhusu matatizo ya nchi yetu kujitetea tunakimbilia udini???
historia inanukuu na kuandika yote tunayoyafanya. Ya Nyerere nayo pia yanajulikana! Ipo siku tutaweka yote wenye mizani halafu dunia itaamua vizuri nani anastahili kufukuliwa na kuulizwa kwanini ameitendea madhambi bila huruma Tanzania. Udini is the weakest weapon to use in any battle....yoyote atakayejaribu kuutumia ipo siku ataumbuka vibaya. Time will tell
 
Umekosea kabisa, yaani umenoa kupitiliza (This line of thinking is total crap). Hiyo quote ya Mwalimu imechukuliwa out of context. Kumbuka kuwa ni makala iliyoandikwa na jarida la kanisa "Christian Century." Hivyo huenda kabisa Mwalimu aliulizwa swali kuwa "How does your Christian faith guide you in your duties as President of Tanzania?" or something to that effect.Hakuna mjadala kuwa Mwalimu was a devout Christian. Alikuwa ni Mkatoliki sana, aliamini Mungu sana (God fearing) na alikuwa anapenda sana sala. Ndiyo maana hata kanisa linamfikiria kumtangaza kuwa saint.Lakini when it comes to uongozi na mahusiano yake na watu, Mwalimu Nyerere hakuwa na udini hata kidogo. Marafiki wake wengi walikuwa ni Waislamu na hata serikali yake aliteuwa Waislamu wengi. Mwalimu Nyerere was the best leader Tanzania has and probably will never see. Kama binadamu, alikosea kwenye sera za uchumi tu, lakini he was a genius. Na ni kutokana na kutokuwa mdini na mkabila ndiyo maana Tanzania iko na umoja mpaka leo.Mwalimu Nyerere alijua kuwa dini kwenye siasa ni sumu ndiyo maana mara baada ya uhuru tu, alitamka kuwa Tanganyika is a secular state (nchi isiyo na dini lakini inatambua kuwa wananchi wake wana imani zao za kidini).Kwa kimombo: "A secular state is a concept of secularism, whereby a state or country purports to be officially neutral in matters of religion, supporting neither religion nor irreligion." Na Mwalimu Myerere alisimamia falsafa hii kwa nguvu zake zote. Msidanganyike kama majuha, suala la udini kwenye siasa limeibuka juzi tu. Ni katika uchaguzi wa 2010, ambapo Jakaya Kikwete na timu yake baada ya kupata kiwewe kuwa DK. WILLBROD SLAA wa CHADEMA anachukua nchi ndiyo wakamwaga sumu ya udini kwenye siasa za Tanzania kwa kueneza propaganda za kupikwa kuwa eti makanisa ya Tanzania yanamuunga mkono DK. SLAA awe Rais na wanampigia kampeni makanisani kwa waumini wao. Hizo zilikuwa ni smear campaign za Kikwete na CCM yake tu.TUSIDANGANYIKE!
Jee, unaweza kutupa data za Wakristo wangapi, wa katoliki wangapi na waislaam wangapi kwenye baraza la mawaziri wa nyerere?
 
Jee, unaweza kutupa data za Wakristo wangapi, wa katoliki wangapi na waislaam wangapi kwenye baraza la mawaziri wa nyerere?

Tunarudi pale pale kulishwa pumba za kina JK kumuogopa DK. SLAA kwa kuzusha tuhuma za udini. Haya mambo hayatusaidii sana. Nyerere atabaki kuwa na sifa za kutukuka. Tena baada ya uhuru 1961 kulikuwa na Waislamu wachache wenye elimu kutokana na mfumo wa kihistoria kuwa wakoloni walianzisha shule nyingi za seminari za Kikristo. Lakini NYERERE alihakikisha kuwa anakuwa na Waislamu wa kutosha kwenye serikali yake. Historia iko wazi, hakuna udini Tanzania. Sumu hii imeanzishwa na Kikwete na CCM yake kwenye uchaguzi wa 2010 kwa kumuogopa DK. SLAA. Watanzania makini wanajua hilo.
 
Kwa Muislaam ni aibu kuandika kitu kinachopinga mafundisho ya YESU tena naweza kusema unaondoka ktk Uislaam. Lakini maadam hoja nzima inahusiana na siasa, Political guidance ya nchi, unaweza kupinga pale matumizi ya policies zinazoshabihiana na mafundisho ya kanisa na sio Gospel yanapotumika kuongoza nchi na sio wananchi..(Nisome kwa makini)

Nakubaliana na mwandishi wa mada hii katumia sana akili ktk maelezo yake lakini amekosa umakini ktk msisitizo wake (in red and bold) hasa pale anapotumia tofauti za kiimani kama msingi wa hoja nzima kuhusiana na utawala wa Mwalimu. Lakini kama asingeweka msisitizo huo na kuzungumzia values na policies ambazo mwalimu alizitumia kinyume cha demokrasia kwa kufuata Injili ya Yesu (Gospel), nadhani angekuwa na haki ya kuhoji.


Lakini kila napomsoma na kurudia kumsoma mwandishi hainipi picha nyingine zaidi ya shauku ya kuujulusha Umma kwamba Nyerere alikuwa akitumikia kanisa katoliki ktk utawala wake wakati anajua fika kwamba hakuna mahala popote ndani ya Biblia kunazungumzia Ujamaa wa Kujitegemea - Kutaifisha mali za kanisa kuwa za Umma kama msingi wa kuiboresha dini hiyo..
 
Embu tujiulize maswali haya; Endapo kama Nyerere angelikua mdini 1. Angetaifisha mali mbalimbali za mashirika ya kidini ya kuruhusu yatumike kwa watu wote bila kujali dini!?2. Angei put Zanzibar under Tanganyikas' wings??3. Angekubali kumkabidhi nchi Ally Hassan Mwinyi???Fikiria!!
Hakuna kilichomsukuma kuivamia Zanzibar kama si udini.
 
Tunarudi pale pale kulishwa pumba za kina JK kumuogopa DK. SLAA kwa kuzusha tuhuma za udini. Haya mambo hayatusaidii sana. Nyerere atabaki kuwa na sifa za kutukuka. Tena baada ya uhuru 1961 kulikuwa na Waislamu wachache wenye elimu kutokana na mfumo wa kihistoria kuwa wakoloni walianzisha shule nyingi za seminari za Kikristo. Lakini NYERERE alihakikisha kuwa anakuwa na Waislamu wa kutosha kwenye serikali yake. Historia iko wazi, hakuna udini Tanzania. Sumu hii imeanzishwa na Kikwete na CCM yake kwenye uchaguzi wa 2010 kwa kumuogopa DK. SLAA. Watanzania makini wanajua hilo.

Kuna watu humu wana chuki za kutisha dhidi ya Mwalimu. Hawako tayari kukubali lolote lile zuri lililofanywa na Mwalimu wakati alipokuwa madarakani tangu tunapata uhuru mwaka 1961 mpaka anang'atuka mwaka 1985.

Kwa wao hawa yaliyofanywa na Mwalimu miaka yote hiyo aliyokuwa madarakani ni mabaya tu tena ya kuwandakamiza Waislamu na pia kuyabagua baadhi ya makabila, kitu ambacho hakina ukweli wowote.
 
Gazeti: Christian Century, March 1, 1972
Mhojiwa: Julius K. Nyerere - Mkatoliki
Mwenye kuhoji: ( Mkristu..jina halijawekwa bayana:
Somo: Building: African Socialism in Tanzania
Play book: Tanzania Constitution + Ujamaa Blueprint
Backstage reference: Bible

Angalizo: Nyerere aitaifisha shule za\ilizokuwa zinamilikiwa na makanisa ili watoto wote wapate elimu bila requirement ya "dini"

Tufikirie Mahojiano mengine na Legacy za Mwalimu kabla ya kuanza kum tupia Mawe.




Je sheria zinazotungwa na BUNGE juu ya usalama wa RAIA na MALI ZAO... Je zinapandikiza udini????.. Najua sheria za dini zote ziakataza KUUA, KUIBA, KUSEMA UONGO n.k kwa mtazamo wa hoja ya hapo juu je hizi sheria ni batili???
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom