Aliyeanzisha Udini Tanzania ni Nyerere

Status
Not open for further replies.
Nyerere was among of African President who does not serve the own people in terms of religion or tribalism. Nyerere is a real African leader,he love Africa,he love Tanzania, R.I.P Julias Kambarage Nyerere.
 
Wakuu zangu hapa sioni kabisa sababu.. Maana Nyerere alisema atatumia Gospel ya Jesus ina maana kubwa kwa Waislaam maana kuna sio sura tu bali kitabu kizima cha Injil - Gospel ya Jesus ndani ya Kuran...Na mtu kama huyu lazima asifiwe badala kusema ameleta Udini.. unless wewe Muislaam Kafir hukubaliani na Gospel of Jesus!
 
Hoja za kuthibitisha Nyerere ndie aliyeasisi "mfumo kristo", upendeleo kwa wakristo, chuki aliyokuwa nayo dhidi ya waislam zipo wazi, haihitaji PhD kuliona hili. Tatizo watanzania mlishaandaliwa kisaikolojia kutosikia udini wa nyerere ukitajwa. Watu wako-programmed kusikia "utakatifu" wake tu na si vinginevyo.
Na kwa bahati nzuri pia "mfumo kristo" ume-lobby media ndio maana waislam watatajwa kwenye magazeti,radio na televisheni pale wanapokosea tu na si vinginevyo.

Mi ni Mkristo(Lutheran)...

Sijui kama mimi ama familia yangu,au ukoo wangu umewahi kufaidika au kunyimwa opportunity yoyote kwa masuala ninayosikia yanaitwa "mfumo kristo"...

Ila kwa wewe kama familia yako imeathirika negatively,pole yako...
 
wengine wakifanya haya mnawafungia huyu katoa rushwa? ama sivyo futa mada hii kama ilivyo ada siku hizi mada za udini zinafutwa na kuwafungia wanaoleta thread hizi
 
Kwa muda mrefu sana katika historia ya nchi ye2 kumekuwa na mijadala mikali ya kidini ikiendelea.. lakini udini ulikuwa ishu kubwa mwaka 2010, baada ya kuibuliwa na mgombea urais wa ccm mh, jakaya m. kikwete(P.h.d),lengo la uzi huu sio kuzungumzia hayo kwa sasa bali kuonesha udini unaoelezwa kufanywa na mwl. nyerere; tofaut na hisia za wengi kuwa kwa kuwa mwl. alkuwa mkatolik, angewapendelea wao kama baadh ya watu wanavyodhani, mwl. aliwapendelea waislam kuliko kiongoz yeyote katika historia ya Tanzania, mf. yeye ndiye aliyetaifisha shule za wakatolik? anglikan na waprotestant kuwa shule za umma, mf. pugu, minaki etc.. alhamasisha ujenz wa miskit had wilayani kwake... hata alipotoka alimkabidh mwislam nchi.., katika hali ya kawaida mtu anaesingiziwa kuwa mdini wala asingethubutu kufanya hivyo bali angeacha nature ifanye kaz yake.., maoni yangu; ndugu zangu waislam 2ache kulalamika, tufanye kaz.. tuwekeze kwenye elimu.. udini haujengi taifa.. MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kuna minongono ya chini kwa chini ndani ya nchi yetu kuwa kuna baadhi ya vyama vya siasa vimeasisi udini na ukabila je ni kweli? Na kama ni kweli ni nani au chama kipi kimeasisi udini na ukabila nchini kwetu tanzania?
 
Yule jamaa aliyetutoka !
Alijenga misikiti kwenye shule za makanisa zilizotaifishwa na nyerere
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom