Kipala
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 3,763
- 699
Pole Bwana.naona sipati majibu hapa ????
Sina uhakika unamaanisha nini kwa "udini" ukileta mifano hii.
Miwili ni Wakristo kuombea taifa changa la Tanganyika
A) wakatoliki kwa kusambaza hivi vimedali vyenye maandishi [FONT=arial,helvetica]'maria mtakatifu ulinde uhuru wa [/FONT][FONT=arial,helvetica]tanganyika'. Sina uhakika inasaidia nini kumwomba Maria maana mimi si mkatoliki; lakini kwao ni muhimu.
B) Waluteri kwa "kuweka Tanganyika chini ya msalaba" - hii namna ya kiprotestant kuombea baraka.
Udini namna gani kama waumini wanaombea taifa wa namna yao? Eti Wasilamu hawaombei Taifa? Je wanafanya kwa kumwomba Allah? Mimi nasema sawa na wewe unapiga kelele kama Wakristo wanafanya vile kwa njia yao???
Mengine haieleweki kwangu. Huyu [/FONT][FONT=arial,helvetica]George Kahama alipewa cheo gani? Na nani? Kwa nini? Barua ya Papa ilisema nini (nukuu! pamoja na chanzo, sipendi kujadili madai matupu)?
[/FONT]