Aliegundua NGAZI alikua mrefu au mfupi?

Izz

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
750
318
Nimekutana na mada hiyo kwenye daladala watu wakiulizana, aliegundua NGAZI alikua mrefu au mfupi?
 
Kaamuulize zoka na Rama wanaowatoa meno wenzao bila ganzi
 
Hahah ngazi ilitengenezwa ilikufikia pasipofika kwani wapo warefu wasiofikia sehemu fulani

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kwani kipimo cha mtu mrefu au mfupi ni nini..??maana unaweza ukajiona mrefu kumbe...:spy::spy::spy:
 
Back
Top Bottom