Joshua Mulundi, aliyedaiwa kumteka Dr. Ulimboka akana mashtaka Kisutu

Siku zote za uhalifu asitubu aje atubu leo?
Tukio lenyewe linavyovuta hisia za watu halafu
eti wamempeleka kwa siri mahakamani.
Hivi kova haoni aibu kudanganya?Mbona mpango
wao huu ulishawekwa wazi hapa Jf?Hawakuwa na
mbinu mbadala?

Gangster alisikia uchungu sana baada ya kuangalia kwenye TV, kwa jinsi alivyoguswa na tukio lile, akaona ni afadhali aende kwa Gwajima akatubu, si unajua tena!!! Alifuata nyota iliyomuelekeza kwa Gwajima..... halafu na conclude hii yote ni sababu ya Freemason!!
 
Mtu yoyote anayemfahamu vizuri Kova hata kwa kupitia tu previous press conferences alizofanya na waandishi atakuwa ameona utofauti mkubwa wa body language yake jana wakati akielezea swala la huyo mkenya!its very obvious hakuwa certain na alichokuwa anakisema.matokeo yake ametengenezwa maswali mengi zaidi!another movie in the making
 
Harafu hivi makanisa ya kilokole huwa wanatubu kama RC? Hawajui hata wanachokifanyaa! Wangepangilia vizuri kidogo!
 
Kwani ulitaka asifikishwe? Au watoe tangazo kwanza?
Hiyo ni "mentioning" stage. Siyo lazima ipigiwe tarumbeta, at least hearing ndiyo ummas unatakiwa angalau ujue.


Yaani kuna watu humu wanajua kukosoa tu'walitaka wabandike matangazo kabla ya kumpeleka polis'
 
Waliogopa kanisa RC! Uongo wao bado kama wk hivi utakuwa aibu tupu! TISS wa std 7 na failures! Hawawezi kuplott hovyo!
 
Kwani ulitaka asifikishwe? Au watoe tangazo kwanza?
Hiyo ni "mentioning" stage. Siyo lazima ipigiwe tarumbeta, at least hearing ndiyo ummas unatakiwa angalau ujue.

Bahati mbaya kwa magambaz ... Tunaelewa uwongo wenu...Vichwa vyenu vimejaa madafu hamuwezi kufikiri zaidi ya urefu wa pua yenu... upelelezi huongozwa na haya maneno; WHAT, WHO, WHERE, HOW, WHEN ...Jiulize mwenye maswali ya msingi ukifuatisha 4W +H ...bila shaka majibu yako yatakuwa = WALIOMTEKA NA KUMTESA Dr. ULIMBOKA ni CHAMA CHA MABWEPANDE CCM... LIWALO NA LIWE!
 
Al-Haji KOVAAAAAAAAA ,ukishaenda maka kuhiji hutakiwi kudanganya wala kufanya maasi yeyote
 
Hivi ni polisi yupi anaweza kujisimamia mwenyewe? Tangu mwema hati wa huku kwetu kijijini, wanaelekezwa fanya hivi, sema hivi, wakikataa wanafukuzwa na elimu yao sote tunaijua.
 
kwani ulitaka asifikishwe? Au watoe tangazo kwanza?
Hiyo ni "mentioning" stage. Siyo lazima ipigiwe tarumbeta, at least hearing ndiyo ummas unatakiwa angalau ujue.

vipi dpp kahusishwa au ndio changa lamacho
 
hii ni move imesukwa na wahuni akina kova, jamaa kaahidiwa mshiko wa kutosha (? kati ya zile bilion 200 zilizotengwa kuleta madokta kutoka nje) ili akubali mashtaka yote kama walivyosema na mwisho wa siku atarudishwa Kenya kwa polisi ya huko ambayo inafanya kazi bega kwa bega kuficha aibu ya serikali ya tz katika sakata la kumteka dr uli
 
Sio hadithi ya wile gamba tuu! james hardley chase! Lakini pomoja na kufikirika zina tone la uwezekano! Cyo kama hili!
 
Jeshi letu lina watu makini sana
katika Upelelezi, Wameweza
kumkamata mtuhumiwa wa
KICHAPO cha Dr. Ulimboka! Tena ni
mtu wa Kimataifa wa Kenya!! Kwa
kweli wako smart sana.
Kule Marekani wakati John Kennedy
alipouawa yuko mtu mmoja
alijitokeza kwanza kanisani kisha
kwenye media kwamba anahusika
na kifo cha Rais John F. Kennedy
lakini polisi wa Marekani walimhoji
na kumuachia mara moja kwa
sababu wana maswali (logical not
fallacy) ya kutambua anayetaka
umaarufu na aliyetenda kosa.
Hapa kwetu mtu akisema au hata
kitambulisho cha mtu kikipatikana
eneo la tukio polisi wanaona kazi
'imalike' hawajiulizi, maswali ya
msingi kabla ya kuibuka kwenye
vyombo vya habari. Ngoja tuone
filamu inakoelekea.
 
mi najiulizaga sana cpat jbu kova alipataje chance yakuwa askar kwa yale macho?. Ama ile hali ilimkuta kazin?. Mi am sure kunavgezo vyam2 kua askar jana alvyokua anasoma rpot yale mambo czan kama ndo yalikua yameandika pale alikua anatoa story zake kchwan zauongo, bdo cjaona sababu zayule mkenya kujisalimisha kabisa. Na kama kweli yule jamaa ni mkenya afu wanataka kumtoa kafara kwauongo nazan itakuja zua balaa kati ya serikal ya kenya na hii ya mwabepande
 
Back
Top Bottom