Elections 2010 Alichosema Dr. Slaa kuhusu nyumba za Tembe na Mabango ya Mgombea

Nyumba kama hii ukisimama kwa nje unakuwa unaizidi urefu. Kwa hiyo huwa zina basement floor. Yaani unaingia kwa kupinda mgongo, then ukishakudumbukia ndiyo inakuwa inakuzidi urefu. Zipo nyingi sana maeneo ya Dodoma, Makao Makuu ya Tanzania (kwa mujibu wa Ramani ya Africa).

Watanzania Amkeni jamani!! Kwa nini munakubali kuwa masikini wa fikra???
Mkuu nimekusoma, si unaona hata picha ime-cover half the height of the house?
 
Mbona nyumba hii nzuri? Tembea uone....! Nyumba hii imeezekwa kwa bati, japo kwa kushindilia kwa mawe....! Nyumba hii imesimama imara, japo ni ndogo na ni dhahiri kuwa haitadumu kwa miaka mitatu...! Si ajabu ukikuta nyumba hiyo ni ya balozi au mwenyekiti wa kitongoji wa CCM....! Mabango yaliyobandikwa hapo yameprintiwa kutoka Canada kwa udhamini wa ikulu ya Jamhuri wa Muungano Tanzania...! Gharama ya bango moja inazidi gharama ya bati moja hadi hapo....! Fika katika ngome za CCM kama vile Ngorongoro, Longido, Monduli, Kiteto, Simanjiro.
 


Huko kijijini... (Picha toka FB)

jamanii ehh,i once were mwalimu wa moja wapo ya shule za kata nnlivyo iona hii picha imenikumbusha same house niliyopewa kuishi siku nilipoenda kuriport kazini the only difference ile ilikuwa kubwa kidogo kuliko hii...i hate tosay it lakini after two months without being paid na working conditions ilibidi ni quit...
 


Huko kijijini... (Picha toka FB)

He Wandugu, mbona kama napafahamu hapo? Siyo Meatu jamani nisaidieni mnaoifahamu Meatu!!!! Yaani watu wako hoi bin taaban huko lakini wanashabikia sisiem kwa kwenda mbele sijui wamelogwa!!!!!!!

Ingawa nasikia sasa Shy wameanza kuamka ngoja tuone tarehe 31.10.2010 watatupatia kitu gani kutoka huko.
 
jamanii ehh,i once were mwalimu wa moja wapo ya shule za kata nnlivyo iona hii picha imenikumbusha same house niliyopewa kuishi siku nilipoenda kuriport kazini the only difference ile ilikuwa kubwa kidogo kuliko hii...i hate tosay it lakini after two months without being paid na working conditions ilibidi ni quit...

It's so sad if you real pass throught that situation, realy realy sad.
 
hivi hasa hawa wenye tembe wanapopiga kura miaka yote ni nini kipaumbele chao?
 
Hapa ni kwa mtendaji

card%201%20139.jpg
 
ngarama za kampeni zinatokana na uwezo wa chama. Sikumsikia slaa akisema mbowe asitumie helicopter 2005 kuwafikia wapiga kura na badala yake ajenge shule. Licha ya uwezo mdogo wa kifedha

basi na chadema pesa wanazotumia kufanya kampeni, wazitumie kujenga shule...

Don't be fooled by politicians...
uwezo wako wakufikili mdogo wewe! Pole sana!
 
Ngarama za kampeni zinatokana na uwezo wa chama. Sikumsikia Slaa akisema Mbowe asitumie Helicopter 2005 kuwafikia wapiga kura na badala yake ajenge shule. Licha ya uwezo mdogo wa kifedha

Basi na Chadema pesa wanazotumia kufanya kampeni, wazitumie kujenga shule...

Don't be fooled by politicians...


KInachotia hasira ni kwamba fedha hizi zinazotumiwa na CCM kusambaza sanamu za Kikwete ni za serikali na ushahidi upo. Atazirudisha siku ya siku ikiwadia. Tumewachoka nyie mafisadi.
 
Inasikitisha sana ! Kwa upande mwengine, mkono wa CCM ni mrefu sana, unaweza kuwafikia hata wale walioko vijiji ambavyo vyama vya upizani hawajawahi fika.
 
Kweli Ujinga wa wabongo nadio mtaji wa CCM, huyo mwenye hio nyumba utakuta hasikii wala haoni kuhusu CCM, ukimuambia kuna CHADEMA kwa maisha bora na nyumba ya kisasa anakuambia Nyerere kasema CCM ndio chama kinacholeta amani hapa Tz, ni kheri ukawa masikini wa mali kuliko umasikini wa akili, na hivyo ndivyo watanzania wengi walivyo hasa wa vijijini maana hawashauriki wala kuambilika.Il mwaka huu WATAJIBEBA.
 
Back
Top Bottom