Alex Ngereza: Simba wameenda kupoteza pesa Zanzibar

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,841
38,736
Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:-

"Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu zao za taifa kwahio kwenda Zanzibar hakuna faida yoyote kwa Simba zaidi wanaenda kupoteza tu fedha" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka.
 
Ukishabikia sanaaaas simba na Yanga akili zinaanza kupungua kichwani.

Vijana Fainali uzeeni.
Msipoteze muda kwenye mamipila.

Hizo simba na Yanga ni mtego wa kisiasa wa selikali na propaganda nyie mnajaa tu.

TANZANIA YANGU.
 
Haifahamu saikolojia ya michezo.
 
Mwisho wa mezi huu tutapata majibu..
 
Ukishabikia sanaaaas simba na Yanga akili zinaanza kupungua kichwani.

Vijana Fainali uzeeni.
Msipoteze muda kwenye mamipila.

Hizo simba na Yanga ni mtego wa kisiasa wa selikali na propaganda nyie mnajaa tu.

TANZANIA YANGU.
Hahahahaha..ushauri wangu kama mpira haukiungiizii kitu achana nao ..

Watu wanarukwa akili kwa mpira,wakati wengine tunaingiza hela ktk mpira na hatuna tena mapenzi ya timu
 
Huyu Ngereza naye ana akili mwezi mchnga. Hv alitaka waweke Kambi wapi? Zanzibar na Dar si zipo Sawa tu? Pesa gani zinaongezeka kwa kwenda Zanzibar jirani hapo? Alitaka wabaki mitaani hadi siku ya mechi. Ushabiki mwingine ni kipuuzi kabisa.
Jamaa anafosi kujulikana
 
Kuweka kambi kwa nchi za kwetu, 1. Inaleta userious, kiakili inaonesha jinsi gani game inayokuja ni muhimu.
Lakini kisoka, kambi kama hiyo kisaikolojia ni muhimu
 
Safari ya Simba Zanzibar ni katika mambo ya ulozi.. Mchambuzi akitaka mambo ya kuchambua asubili gozi lipigwe Taifa hapo Wakati muarabu anakufa..!
 
Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:-

"Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu zao za taifa kwahio kwenda Zanzibar hakuna faida yoyote kwa Simba zaidi wanaenda kupoteza tu fedha" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka.
Huko wameenda kujitwisha majini
 
Ana nafasi gani katika kuchangia gharama za uendeshaji wa timu ya Simba huyo bwana Ngereza? Kama hana mchango wowote azingatie usemi usemao pilipili usioila yakuwashia nini
 
Huyu Ngereza naye ana akili mwezi mchnga. Hv alitaka waweke Kambi wapi? Zanzibar na Dar si zipo Sawa tu? Pesa gani zinaongezeka kwa kwenda Zanzibar jirani hapo? Alitaka wabaki mitaani hadi siku ya mechi. Ushabiki mwingine ni kipuuzi kabisa.
Kwanza hata huyo bosy wake anaemlipa mtu mweny utindio wa ubongo ni ushenz kwanza hana mvuto yaani ovyo bora uwe mkandiaj unaonekan
 
Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:-

"Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu zao za taifa kwahio kwenda Zanzibar hakuna faida yoyote kwa Simba zaidi wanaenda kupoteza tu fedha" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka.
Binafsi nawaunga mkono Simba hata kama hawana wachezaji wote lakini kutoka mazingira yale uliyozoea na kwenda mazingira tofauti kwa ajili ya jambo fulani inasaidia kuamsha upya hisia chanya kuelekea jambo hilo.

As long as programme ya mwalimu haiharibiki nadhani wako sahihi kwa ajili ya kuwaweka sawa wachezaji na bench zima kisaikolojia zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom