Simba waliwakosea nini Yanga?

msimamia kucha

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
616
487
Jwaneng Galaxy anapokelewa Avic Town iliko kambi ya Yanga..

Yanga wanaondoka kwenda Egypt hosteli zao wanawachia wakina Baruti

Mbaya Zaidi video analyst wa Yanga wakamuacha Kambini ili asaidiane na Benchi la Ufundi la Jwanang Galaxy kuisoma Simba,huku wakitoa siri nyingi za Simba..

Yaani wanaenda kucheza Mechi kubwa dhidi ya Al Ahly Lakini waliamua ku lisk wakamuacha mtu muhimu sana wakumsoma mpinzani wao Al Walikuwa tayari kupoteza dhidi ya Al Ahly ili wahakikishe Simba anatolewa inje ya mashindano

Yanga tokeni hadharani semeni Simba Waliwakosea nini,maana mmeanza mda mrefu kuwa Sapoti wageni.
Mbona yanazungumzika tu ,Kumbukeni Barabara mnayopita imechongwa na Simba miaka mitano mfululizo simba wanafanya vyema kwenye mashindano haya

Daaah Ing'asi yemkola nyenye ikondite kwasababu ya Inyarupala yeyakolige kila siku

Kuna nini nyuma ya pazia?
Au Ndiyo ule msemo wa Wahenga wanasema mchawi hataki kuona mtoto wa jirani anafanikiwa?

Viongozi wa Club wanahusika direct kuhakikisha Simba anapoteza mchezo Muhimu.

Mungu Kibidu amebidua jana🤝🙏
 
Jwaneng Galaxy anapokelewa Avic Town iliko kambi ya Yanga..
Yanga tokeni hadharani semeni Simba Waliwakosea nini,maana mmeanza mda mrefu kuwa Sapoti wageni.
Yote ni mipango ya Mungu kuufarakanisha utawala wa shetani. Hivi sasa tunavyoongea Jwaneng Galaxy wanaitazama Yanga kwa jicho la tahadhari, maana wamelishwa sumu (kwa madai yao) wakiwa katika mazingira waliyoyaamini kwamba ni mikono salama
 
Nawe toa ushuzi wako, hilo hadi viongozi wa Serikali wamelikanusha alafu we mwehu wa nyakatuntu unalikuza bila sababu.
Kiongozi gani wa Serikali amekanusha?Na kuvaa jezi za Berkane na kuchat na wachezaji pia ilikanushwa?
Hayo ya Hersi kuvaa jezi za Kaizer Chiefs wakingojea mechi na Simba pia ilikanushwa?
Kuwapokea Asec ilikanushwa?
Hiyo ni hulka ya uhasidi haiwezi badilika.
 
Yote ni mipango ya Mungu kuufarakanisha utawala wa shetani. Hivi sasa tunavyoongea Jwaneng Galaxy wanaitazama Yanga kwa jicho la tahadhari, maana wamelishwa sumu (kwa madai yao) wakiwa katika mazingira waliyoyaamini kwamba ni mikono salama
ashukuliwe yanga kwa kumhujumu jwaneng ili simba ishinde
 
Mi huwa nashangaa sana.... Simba na Yanga ni watani.. lkn mwenzetu UTO hutumia mbinu hatari sana za kiharamia kuihujumu Simba...
 
Tatizo ni kwamba hamna akili Yanga walikua wana pata faida gani kwenye hio mechi kiasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho kuwa gharamia Jwaneng return yao ilikua ni ipi?
 
Jwaneng Galaxy anapokelewa Avic Town iliko kambi ya Yanga..

Yanga wanaondoka kwenda Egypt hosteli zao wanawachia wakina Baruti

Mbaya Zaidi video analyst wa Yanga wakamuacha Kambini ili asaidiane na Benchi la Ufundi la Jwanang Galaxy kuisoma Simba,huku wakitoa siri nyingi za Simba..

Yaani wanaenda kucheza Mechi kubwa dhidi ya Al Ahly Lakini waliamua ku lisk wakamuacha mtu muhimu sana wakumsoma mpinzani wao Al Walikuwa tayari kupoteza dhidi ya Al Ahly ili wahakikishe Simba anatolewa inje ya mashindano

Yanga tokeni hadharani semeni Simba Waliwakosea nini,maana mmeanza mda mrefu kuwa Sapoti wageni.
Mbona yanazungumzika tu ,Kumbukeni Barabara mnayopita imechongwa na Simba miaka mitano mfululizo simba wanafanya vyema kwenye mashindano haya

Daaah Ing'asi yemkola nyenye ikondite kwasababu ya Inyarupala yeyakolige kila siku

Kuna nini nyuma ya pazia?
Au Ndiyo ule msemo wa Wahenga wanasema mchawi hataki kuona mtoto wa jirani anafanikiwa?

Viongozi wa Club wanahusika direct kuhakikisha Simba anapoteza mchezo Muhimu.

Mungu Kibidu amebidua jana
Kuna mambo mmefanya hio mechi sasa hivi mnatafuta visingizio kuficha ukweli sijawahi kuona timu imeshinda ushindi mkubwa bado inatoa visingizio
 
Yanga alishinda 4 walifurahia yanga na mashabiki zao Simba kashinda mnataka aumie yanga kweli simba ni makolo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom