Al-Shabaab kushambulia mechi ya Simba na Yanga

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Kuna habari zimezagaa kuwa Al-Shabaab wana mpango wa kulipua katika mechi ya Simba na Yanga kesho. Naomba muwe waangalifu sana kama itawalazimu kwenda kuangalia mchezo huo lakini ushauri ni kuacha kwenda kwenye mechi hiyo kabisa. Hizi ni habari za ndani sana hivyo source haiwezi kuwekwa hapa.
 
Na sisi Tanzania tayari tumeshaanza kuwaogopa Al-Shabaab?
 
kova na hili atolee tamko maana wametubania mandamano ya dowans sasa ngoja tuone na hili kama watakaa kimya maana na huu ni mkusanyiko na hii habari si ya kubeza ...
 
Na sisi Tanzania tayari tumeshaanza kuwaogopa Al-Shabaab?

Marekani mwenyewe anagwaya kwa hawa jamaa. Aliingiza kichwa Mogadishu akaishia kukatiwa vichwa vya wanajeshi wake kama kuku.
 
Kuna habari zimezagaa kuwa Al-Shabaab wana mpango wa kulipua katika mechi ya Simba na Yanga kesho. Naomba muwe waangalifu sana kama itawalazimu kwenda kuangalia mchezo huo lakini ushauri ni kuacha kwenda kwenye mechi hiyo kabisa. Hizi ni habari za ndani sana hivyo source haiwezi kuwekwa hapa.
Kila mtanzania na awe mlinzi, taarifa zozote zenye viashiria vya hatari tujulishe vyombo vyetu vya ulinzi haraka iwezekanavyo.
Mungu ibariki Tanzania
 
Tunatarajia mechi ya simba na yanga nayo kutokuwepo kama ambavyo maandamano ya kupinga tuzo ya dowans yalivopingwa kwasabubu mechi hiyo itasababisha mkusanyiko mkubwa kuliko maandamano kama mechi itakuwepo tunaomba kibali cha maandamano kitolewe mara ili tuendele kwasababu hapo ishu itakuwa siyo alshababi ila ni kutumiwa kwa jeshi la polisi na wahusika wa dowans.
 
mnawataka eeee --- mtawapata tu, mwambieni na kova wenu kuvunja maandamano ya kupinga malipo ya do-once and get money for free kisa mnawasingia al-shaabaau - akae chonjo anawataka na watafanya kazi kweli.
 
Tena hata maadhimisho ya miaka 50 yasiwepo, wakiruhusu maadhimisho ya miaka 50 wanaharakati waitishe maandamano kuanzia siku hiyo maana hali itakuwa shwari
 
Piga marufuku mechi ya Simba na Yanga la sivyo hakieleweki
haitasaidia, inatakiwa mpige marufuku mikusanyiko yote misiba, night clubs, baa zenu za uswazi, super markets kama mnawaogopa hawa jamaa.

tatizo la CIA ya tanzania -- zima moto.
 
Back
Top Bottom