Akiri: Mganga wa kienyeji alininyonya VV

Ulishawahi fanyiwa hiyo ultra sound??

Ni kweli unachosema, hao madaktari unao wasema wanakuwa na nia ya kutibu na ndio maana hawaiti wagonjwa gesti house ila huyu wa kuita wanawake gesti house na kuanza kuwachezea ikulu zao kwa ulimi, mie napata mashaka 100% ujue kifaaa na ulimi vinalegeza kwa speed tofauti mkuu, nadhani huyo mdada angetumalizia tu story
 
Mbona watu hawamwamini huyu dada kama hakuliwa?
Mie naamini hakuliwa, labda alikonsntreti kwenye dawa zaidi kuliko kazi ya hisia za ulimi

Ngoja nitoe mfano mchungu kidogo
Kuna aina ya utra sound ambayo wanawake huwekewa kwenye VV
Hupakwa jelly hivi
Na kuna madaktari mafirauni wanaweza kutumia kifaa hicho hicho kumlegeza mtu
Ila si wote hulegezwa, je wapo ambao hulegea? May be . . .
Wapo ambao huliwa kwa njia hii?? May be. . .

hospitali lazima dokta avaae gloves
hapo tofauti ipo kubwa
 
kusoma hajui hata picha haoni......kitendo cha kuingia guest tayari alijua kitakachoendelea bado wavua kyupi na ku**** hahahahaha keshaliwa tayari khaaaa waganga noma huwa hawarudishe ndoa wanaharibu

ukiona manyoya jua keshaliwa, hadi mtu apige hodi karibu na ikulu kisha ashindwe hata kushikana mkono na mheshimiwa!!!!

Duniani kuna mambo!!!!
 
nazungumzia zaidi kutumia mkono
kum abuse au kumsisimua makusudi mgonjwa..

sio kuvua suruali..

i hope hili kwenye menu yako haitakuwepo hii!itakuwa strictily business,lol!

ila wanawake tuna mahangaiko jamani!sasa haya ya kupigwa mpera kisa ndoa ikawe sawa ndo makitu gani jamani!na haya maradhi si tunajitafutia balaa!
kama umefika hapa kwa kweli ni zaidi ya kutokujitambua!
 
nahisi we utakuwa 'mgonjwa wangu permanent' lol
 
nahisi we utakuwa 'mgonjwa wangu permanent' lol
ahahhahhahahha natoka MMU WOMEN REVELETION REDEMTION SPIRITUAL GOSPEL CHURCH kuhubiri then nakuja ofisini kwako kama mgonjwa !halula! Kaunga njoo usikie hii habari huku!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, duniani kuna mambo

Nilikuwa nasikiliza redio moja, akina mama wanaulizwa kama wamewahi saidiwa na waganga wa kienyeji
Mmoja akasema alikuwa na matatizo na mmewe

Akashauriwa kwenda kwa mganga, huko Tandika
Mganga akamjibu, kwa kuwa hana kijiwe, wakutane gesti amtibu

Bi dada akaenda guesti kama alivyo
Mganga akamsemea maneno wee
Halafu mganga akamuuliza bi dada, una kitambaa?
Bi dada akajibu hana

Basi mganga akasema atamumia kitambaa chake
Akamvua kyupi, akaanza kumnyonya VV afu anatemea kwenye hicho kitambaa
Akarudia mara nyingi weeeee
Akapiga magoti akaanza kuvua sarawali yake

He ndio bi dada kung'amua anataka kubakwa
Akabeba kyupi chake mkononi akakimbia

Swali kwa wakaka, kama ni mkeo unamwacha?
Swali kwa wadada, inalipa? hata kama asingemwingilia, ila ile kunyonywa tu na kupewa dawa kwa ajili ya ndoa, inalipa??

clouds fm, hekaheka ya jana tarehe 16 oct
 
Simung'unyi nitamuacha!
Kwanza mi mtu kitendo cha kwenda kwa waganga na ushirikina ndio kabisaaa!

Tupa kuleeeeeeeeeee

Mmmh, duniani kuna mambo

Nilikuwa nasikiliza redio moja, akina mama wanaulizwa kama wamewahi saidiwa na waganga wa kienyeji
Mmoja akasema alikuwa na matatizo na mmewe

Akashauriwa kwenda kwa mganga, huko Tandika
Mganga akamjibu, kwa kuwa hana kijiwe, wakutane gesti amtibu

Bi dada akaenda guesti kama alivyo
Mganga akamsemea maneno wee
Halafu mganga akamuuliza bi dada, una kitambaa?
Bi dada akajibu hana

Basi mganga akasema atamumia kitambaa chake
Akamvua kyupi, akaanza kumnyonya VV afu anatemea kwenye hicho kitambaa
Akarudia mara nyingi weeeee
Akapiga magoti akaanza kuvua sarawali yake

He ndio bi dada kung'amua anataka kubakwa
Akabeba kyupi chake mkononi akakimbia

Swali kwa wakaka, kama ni mkeo unamwacha?
Swali kwa wadada, inalipa? hata kama asingemwingilia, ila ile kunyonywa tu na kupewa dawa kwa ajili ya ndoa, inalipa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom