Akiri: Mganga wa kienyeji alininyonya VV

Dah, sasa tukimbilie wapi sijui


Ila kitu kikubwa nachoona kinatuponza wamama wengi ni kuwa 'desperate' kwa matatizo ambayo ni ya kawaida kabisa katika maisha

Au kutojiamini na maamuzi yako mwenyewe. Unakuta mtu kaenda kwa mganga mfano halafu ukimuuliza anasema alishawishiwa na mashoga zake. Huwa naboreka sana na jibu la aina hii, naona bora mtu aseme "niliona ndio suluhisho la wakati huo" kuliko kushawisjiwa.

Kuhusu mchungaji, nakufuata PM aisee, umbea utaniua

Kuna mmoja mi nliambiwa anazaa na wake za watu wale wanaotaka watoto.

Si unajua tena mnaweza mkawa hamna watoto kumbe mume ndo inshu...

Basi anakutana nao kwenye three stars sijuhi five stars hotel...jina kapuni;

Anawabaka...

Mmoja alitoa siri akamwambia mumewe...


Mimi haya makanisa...hawajanipata bado!

Afu watu wamejazana kumsikiliza mtu mwenye mikashfa kibao...sijuhi nao wamelogwa...????
 
Dah, sasa tukimbilie wapi sijui


Ila kitu kikubwa nachoona kinatuponza wamama wengi ni kuwa 'desperate' kwa matatizo ambayo ni ya kawaida kabisa katika maisha

Au kutojiamini na maamuzi yako mwenyewe. Unakuta mtu kaenda kwa mganga mfano halafu ukimuuliza anasema alishawishiwa na mashoga zake. Huwa naboreka sana na jibu la aina hii, naona bora mtu aseme "niliona ndio suluhisho la wakati huo" kuliko kushawisjiwa.

Kuhusu mchungaji, nakufuata PM aisee, umbea utaniua

Nami utanipa copy kwa ajili ya jirani yangu mdada fulani hivi..............kachoka na ndoa.Mwanaume si mbeya ila hujali matatizo ya wengine
 
mmmh, duniani kuna mambo

nilikuwa nasikiliza redio moja, akina mama wanaulizwa kama wamewahi saidiwa na waganga wa kienyeji
mmoja akasema alikuwa na matatizo na mmewe

akashauriwa kwenda kwa mganga, huko tandika
mganga akamjibu, kwa kuwa hana kijiwe, wakutane gesti amtibu

bi dada akaenda guesti kama alivyo
mganga akamsemea maneno wee
halafu mganga akamuuliza bi dada, una kitambaa?
Bi dada akajibu hana

basi mganga akasema atamumia kitambaa chake
akamvua kyupi, akaanza kumnyonya vv afu anatemea kwenye hicho kitambaa
akarudia mara nyingi weeeee
akapiga magoti akaanza kuvua sarawali yake

he ndio bi dada kung'amua anataka kubakwa
akabeba kyupi chake mkononi akakimbia

swali kwa wakaka, kama ni mkeo unamwacha?
Swali kwa wadada, inalipa? Hata kama asingemwingilia, ila ile kunyonywa tu na kupewa dawa kwa ajili ya ndoa, inalipa??

majibu yangu kwa both questions is no!!!
 
why no? Nimekataa nikatafari nikaona na yenyewe ni ni imani kama za wengine tu?[/QUO

u dont need to leave ur wife for kulambwa K na mganga kama aliishia hapo tuu ila kama aliendelea zaidi ya kulambwa hiyo ni habari ingine. But umuulize why alifika hapo kwa huyo kalumanzila na alipoambiwa matibabu ni guest hakustuka tuu kuwa huyo ni bazazi na si tabibu? na kwa nini aaguliwe kwa mganga wakati hosp. zipo? kama alienda kuchawia ndoa au mambo mengine u need to know more about that wife and her friends and her family coz waweza kuwa umeoa a witch wife so after that research u'll decide whether to leave her or to saty with her. Hilo siisemei mioyo ya wanaume watajugde wenyewe na my wife zao.
nooop kwa wadada hailipi
 
Mganga nae atakua keshazowea kuwafanyia wake za watu mchezo mchafu,na huyu mama nae yani kitendo cha kukutana guest tuu alishajua vp mganga unakosa ofisi? Yalimfaaa na huyo shosti wanaume wasikuizi majini Kama nini hawarogeki utamaliza mitishambaa...
 
Moja, huyo mdada mwisho wa siku aligongwa kwasababu stori yenyewe ina mushkeli hapo mbele

Dah, bahati mbaya sana we kama mwanaume hutajua kwamba alikwenda huko coz kama ana akili timamu hiyo itabaki kuwa siri yake.

Mwisho wa siku waganga ni wachawi na wachawi wote ni warongo na chukizo mbele ya Mungu kwa mujibu wa maandiko....
 
alivua mwenyewe baada ya kuambiwa anapakwa dawa huko kwa kutumia mdomo wa mganga.

kusoma hajui hata picha haoni......kitendo cha kuingia guest tayari alijua kitakachoendelea bado wavua kyupi na ku**** hahahahaha keshaliwa tayari khaaaa waganga noma huwa hawarudishe ndoa wanaharibu
 
Kusema ukweli hapa ni zaidi ya picha tunayoiona. Saikolojia ya mwanadamu hasa awapo na matatizo huwa ni ya ajabu sana. Usijeshangaa kuwa baada ya kumshtukia huyu bado alitoka akaenda tafuta mganga mwingine.

Waganga wanaongezeka kwa kuwa wanatumia nafasi na udhaifu wetu katika maisha hasa pale tunapokuwa desparate kwa kuwa kwa wengi wetu akili na uwezo wa kufikiri vizuri huwa umekwenda likizo. Tizama miaka ya karibuni ambapo wadada wengi tumekuwa na shida ya kupata wanaume wa kutuoa matokeo yake tunaanza kuwa desparate na kuhisi ni kwa kuwa hatuna maumbo mazuri (as if wanaume wa kuoa huangalia maumbo) hence waganga wakabuni dawa za kuongeza maumbo, dawa za mvuto n.k.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom