Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,878
- 3,619
Kuna tabia hii imejitokeza na inaelekea kuota mizizi sasa.
Kuna baadhi ya akinamama wanaamua tu kuwapa watoto majina yao unakuta mtoto anaitwa Mariamu Khadija Ally au mwengine anaitwa Juma Zainabu Mamba.
Jamani hii sio desturi yetu na kiujumla haipendezi wala haimpendezi muumba ni kinyume ya imani zetu.
Tuungane kukemea tabia hii mbovu.