Akina dada soma hapa muhimu sana

Maliboro

Member
Jul 28, 2012
20
2
Wadau nimewahi kupost uzi wangu wa kutafuta mke hapa bila kuweka vigezo ila hadi sasa hakuna mafanikio yoyote.Sasa kwa mamlaka ya hisia zangu na moyo wangu naomba nirudie tena na nitangaze nia yangu kwa mara nyingine.Mimi umri wangu ni miaka 30 na ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1.Awe mkristo mcha mungu na mwenye hofu ya mungu
2.Ajitambue kuwa yeye ni mama mtarajiwa na sio sista duu wa mjini
3.Awe na miaka 22 hadi 28
4.Awe mfanyakazi isiwe kazi za kusafiri safiri kila siku kama auditing au sales and promotion teams
5.Awe tayari kuolewa bila sherehe kubwa ila tartibu zote zitafuatwa
6.Awe mrefu kiasi,yaani asiwe mfupi,awe mzuri kisura,kitabia na kiumbo.Mambo mengine yote yaliyobaki ni ya kawaida tu na yanajadilika
kwa yeyote alieko tayari tafadhali naomba niinbox moja kwa moja na naomba ikiwezekana jieleze kidogo na hii nafasi ni kwa wote walio ndani ya nchi na nje ya nchi.
 
Nenda kazurure mlimani city,nawaonaga onaga wenye vigezo vyako ....au ndo domo zege?
 
Mkuu madada uliyowasema wapo na wanapatikana, lakini bango ulilotumia kutoa tangazo umekosea, Nenda kanisani kwenye notice board utawapata wengi! Humu hasa kipengere hiki,Ajitambue kuwa yeye ni mama mtarajiwa na sio sista duu wa mjini na hiki Awe tayari kuolewa bila sherehe kubwa ila tartibu zote zitafuatwa

 
hiv mnaishi dunia ya peke yenu mnaotafuta wachumba mtandoni?kama na wewe una vigezo mpaka ukaamua kumuwekea vigezo umtakae mbona ata apo ulipo wapo,wengine mnatafuta matatizo kama si hivyo ni ww ndo utakua tatizo.
 
hiv mnaishi dunia ya peke yenu mnaotafuta wachumba mtandoni?kama na wewe una vigezo mpaka ukaamua kumuwekea vigezo umtakae mbona ata apo ulipo wapo,wengine mnatafuta matatizo kama si hivyo ni ww ndo utakua tatizo.
Jaman beb usiseme hivyo ni vibaya!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom