Akina dada nao wamo??

NN unahitaji maombi, tena ya nguvu maana huyo shetani wako siyo mchezo.................. cha kutuvua nguo wake za wenzako................ ushindwe na ulegee

FP ni kwamba NN anahitaji kupongezwa kwa uwazi wake. Wengi wa wanaume wako kama yeye tofauti tu ni kwamba wanaficha kwa kuogopa akina FP watawakattaa au kuwatukana. Vinginevyo suala la hisia kwa wanaume ni kitu cha kawaida sana. Si ajabu ukakutana na NN live ukashangaa alivyo mpole, hawezi kuongea na zaidi anang'ata tu vidole vyake......... kwa aibu. Haya mambo bwana acha tu.
 
Mh inaelekea preta unajua mavituz mh:smile:

Hata akina FP wanajua sana, sema hawawezi kuweka wazi hisia zao. Lakini ukiwa nao faragha na ukawahakikishia huna ngom..... na unaonesha kujali ndo utajua rusha roho zao. Wanawake ukikutana nao kwenye daladala wanazuga wako serious wanasikiliza muziki wa kwenye simu (usistaduu tu unawasumbua), ukiwa naye chemba unashangaa jinsi alivyokuwa na ............ kufanya.........................
 
3D chinja taratibu....

Huo ni ukweli mtu ila Preta unaona kama atrusha njiwa watarajiwa kama sisi na kwa mtindo huu bora tusije kuonana kama wanajamii maana tunaweza kuishiwa mbavu kwa hizi hisia maana unaweza kuwa unapenda wanawake wanene kama mimi halafu ukakuta Preta mwenyewe mwembambaaa.. Itakuwa kazi kweli kwa walafi

back to topic mwanaume anaweza kupenda macho tu au mguu, makalio, mabega, mwanya, na wengine wanapenda maziwa makubwa kama mimi.
 
heee.....mbona hiyo iko sana.....hata sisi huwa tunaangalia hivyo hivyo ila kimachale siyo kodokodo kama wanaume

Ah, kwahilo Preta akina dada ndo wamebobea sana na ndo maana uatawakuta wanajadili sana mambo hayo hasa wanapokuwa wawili watatu.
Kwa kifupi mimi mwenyewe nimeshajadiliwa vibaya sana na kwamba kila wanapokuwa marafiki wawili wa kike mambo makubwa wanayojadili ni hayo tu ya yule handsome, mara oooh! huyu nanakuwa vile mara huyu sijui nanakuwa hivi.
Wao ndo mabingwa wanashindwa tu kutongoza
 
kweli sisi wanaume fasta sana. fikiria kuna dada mmoja kwenye sijui ni signature au nini kaandika tengo miedo sijui maana yake lkn hata nikitembea barabarani natamka tu kwa sauti ya wastani TENGO MIEDO. nikimwona dada mzurii huwa nawaza huyu ndo first lady wa jf au preta au maria roza au ndo WOS yaani full kuchanganyikiwa . huyu aliyeandika tengo miedo basi pale kwenye location yake kaandika yupo YAEDA CHINI Arusha basi nna hamu na shauku kufika yaeda chini nipaone dah sisi wanaume km ni ndoto tu mungu katujaalia hahaa

Kuna uwezekano mkubwa ukawa na pepo. Hii si kawaida, utakuja lala na jini bureee!
 
mimi nikikuona nitakuwa nawaza jinsi nitalala kifuani kwako (kwa tunaopenda vifua) na jinsi utafanya hayo yote uliyooroesha na kikubwa zaidi ni jinsi utanipa shughuli pevu.....
Preta unanitafuta? ..niko huku Masai camp ..........karibu tupate valuer kwanza ....!
Nasikia huwa mnaangali hapa mbele kwanza kama mshariba wa kutosha upo :happy::wink1:
Halafu hapa kifuana unapopambenda pana nini, ......msijetuvunja colar bone
watoto wa wenzio ...........
 
avatar10891_8.gif
..........ulikuwa unasema??.......sorry mambo ya Rusia ni yapi?

We preta mi.nimeshajua unakopatikana hiyo yaeda chini umeona ni mbaali ni kwa watindiga fulani na maeneo ya karibu na hapo wanalima vitunguu kibao ila siwezi kuwastua hawa mafataki wa humu ndani huyo mwanaume wako katika picha hana nywele angalau chache za kifuani kama mimi na zingine kibao tumboni. Ila unaonekana mtamu mtu wangu ikiwa sivyo ni bahati mbaya
 
hata pearl na yeye mmmmmh jina lenyewe tu linaaashilia kitu nyororooooo sasa weae unategemea nini ila nyamayao mb namuogopa anaonekana kwa mipasho balaaaaa pearl uko wapiiiiiiiiiiiii? TENGO MIEDO ahaaaaaaaaaaaaaasaaaa
 
FP ni kwamba NN anahitaji kupongezwa kwa uwazi wake. Wengi wa wanaume wako kama yeye tofauti tu ni kwamba wanaficha kwa kuogopa akina FP watawakattaa au kuwatukana. Vinginevyo suala la hisia kwa wanaume ni kitu cha kawaida sana. Si ajabu ukakutana na NN live ukashangaa alivyo mpole, hawezi kuongea na zaidi anang'ata tu vidole vyake......... kwa aibu. Haya mambo bwana acha tu.

mmh sipati picha NN ana anaona aibu tena anang'ata vidole hehehehehe
 
mmh sipati picha NN ana anaona aibu tena anang'ata vidole hehehehehe

Akina NN ujanja tu wa maneno. Unaweza ukamkubalia muonane halafu akaogopa matokeo yake akamtuma rafiki yake amwakilishe. Huu ujajnja wa kwenye kompyuta ni tofauti na live.
 
Jaman jaman jaman amakwel uclolijua lazma lkusumbue mi niljarbu kkuta na demu 2liekua 2nachat nae bonge la sauti tamuu lo kujamwona live kimbembe

umenikumbusha kitu.................mmmhhaa haya mambo ya charting haya ni hatari yanafurahisha kwa kweli yani imagination inakuwa tufauti sana na uhalisia unless awe ameanza kukueleza yukoje maaan weweza kutana na kitu cha ajabu mpka frastuation.......any wa its life in general:yield:
 
nikimuona mwanamme mwenye kifua ninachokipenda,naaanza kuwaza jinsi ntakavyojilaza pale kifuni na kuchezea kidevu chake
 
Back
Top Bottom