Akina dada nao wamo??

Akina NN ujanja tu wa maneno. Unaweza ukamkubalia muonane halafu akaogopa matokeo yake akamtuma rafiki yake amwakilishe. Huu ujajnja wa kwenye kompyuta ni tofauti na live.

unachosema kweli niliwahi kutingoza demu kwenye cm.mapaka yakaiva ila siku tuliyokutana ilikua noma sana maana kwanza alikuwa rasta pili yeye mwenyewe aligundua siyo type yangu na mimi siyo type yake ikabidi tuwe marafiki wa kawaida
 
Preta nimependa namna ulivyoeleza kwa uwazi kwani nilikuwa sijui,nikipata girlfriend nitamuuliza kwa uwazi na ukaribu zaidi
 
hakyanani vile vifua fulani ivi huwa siachagi kupiga chabo kidogo hata kama mwanajeshi yupo karibu tofauti yetu mimacho huwa haitoki kama wanaume
 
hakyanani vile vifua fulani ivi huwa siachagi kupiga chabo kidogo hata kama mwanajeshi yupo karibu tofauti yetu mimacho huwa haitoki kama wanaume

Wewe chauro,ukisha chabo nini kinafuata?????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom