Akina dada nao wamo??

Mimi nadhani nina matatizo maana hata wale wanaojitambulisha kama wadada humu, mfano wewe, Katerelo, Preta, na wengine huwaga nawawaza kimapenzi....yaani huwaga nawavua nguo kabisa!!!
Ha ha ha, Oh boy you're something!.
 
3D, upo sawa kabisa.............. sisi wadada siyo kama wakaka. nadhani tumepishana kwa sana tu. mtu unaweza kumwazia mkaka hivyo kama una-angalau feelings naye, na siyo kila mkaka anayepita njiani

Thanks. And in reality mwanaume anaweza kutembea na house girl kwa sababu ya tamaa tu hata kama anapewa sex nzito na mkewe lakini mwanamke akitembea na house boy ujue pana tatizo kubwa sana kati yake na mumewe.
 
mmmmh....sasa sisi hutuoni ni hivyo je kwa wale unaowaona live inakuwaje?......NN unatisha ujue

Niliogopa kumsema NN aliposema kuwa "Uwazi wako unanivutia." Mi nilishajua anakoelekea. Mwanamke muwazi anamvuta sana mwanamme. Mwanamme anaamini msichana wa namna hii hana aibu. Mkiingia kwenye sex basi ni kubadili pozi bila aibu na........... (msinifanye nikamwaga radhi hapa). Preta umesahau jana kuna Mkuu fulani katika jukwaa hili alianza kukubananisha wakati mjadala unaendelea? In short sex kwa wanaume ni kitu cha kwanza.
 
Mimi nadhani nina matatizo maana hata wale wanaojitambulisha kama wadada humu, mfano wewe, Katerelo, Preta, na wengine huwaga nawawaza kimapenzi....yaani huwaga nawavua nguo kabisa!!!

Mkuu NN, huna matatizo. Wengi wako (nafanya unafiki kutosema "tuko") hivyo ila hawasemi. Ila ni vizuri kujaribu kuipunguza sana hali hii.
 
Hii hali inapunguzikaje sasa? Maana kwangu mimi inakuja tu yenyewe (naturally) na wala si kwamba najilazimisha kufikiria hivyo. Yaani tena huyu Preta huyu na vijineno vyake hivyo ndo looooh!!!! Mtu ukimpata utamfaudu sana....khekhekheeeeeee....(just my imagination)
 
Hivi kwa upande wa akina dada inatokea na wao wakamtazama kijana na kumtamani kimapenzi kama wanaume itutokeapo?Mfano unaona makalio au mguu au kifua ukastukia mwili unasisimkwa,je na akina dada nao huwatokea?

Ndiyo manake, na sisi tuna hisia na mihemko kama nyie...ila makalio/mguu wa mwanaume haunivutii binafsi!..kifua kizuri ila siyo kitambi wala baunsa::))):smile-big:
 
Niliogopa kumsema NN aliposema kuwa "Uwazi wako unanivutia." Mi nilishajua anakoelekea. Mwanamke muwazi anamvuta sana mwanamme. Mwanamme anaamini msichana wa namna hii hana aibu. Mkiingia kwenye sex basi ni kubadili pozi bila aibu na........... (msinifanye nikamwaga radhi hapa). Preta umesahau jana kuna Mkuu fulani katika jukwaa hili alianza kukubananisha wakati mjadala unaendelea? In short sex kwa wanaume ni kitu cha kwanza.

teh teh teh....umeniacha hoi kabisa....kweli wanaume ni zaidi ya tuwajuavyo
 
Hii hali inapunguzikaje sasa? Maana kwangu mimi inakuja tu yenyewe (naturally) na wala si kwamba najilazimisha kufikiria hivyo. Yaani tena huyu Preta huyu na vijineno vyake hivyo ndo looooh!!!! Mtu ukimpata utamfaudu sana....khekhekheeeeeee....(just my imagination)

:confused2:
 
Inazungumzika. Ni kwamba kichwani kwako una sura na maumbile ya mwanamke kwa namna unavyovutiwa nao. Akitokea unknown kama Preta akasema vineno vya rusha roho hapo hapo unaconnect na picha uliyonayo kichwani. Si ajabu ukimwona live mzuka unashuka fasta (unaweza ukakuta ana bonge la kitambi!) Ooh Preta I'm just saying barbie.

Wasichana wenye vimanemaneno kama Preta hawana tabia za aibu, ukimwambia ........... ana .............. Hakuna kulala kama gogo. Kwanza ukiwa umezubaa anakuvamia fasta, anakufungua vishikizo vya shati, we unapiga kelele "taratibu utachana shati" yeye hajali. Unaweza shangaa akakusukuma ukaanngukia kochini, atakushusha zipu, atakukalia juu (ye bado hajavua ukumbuke). Kisha......... Sasa ukiweka mawazo kama haya ni lazima urushwe roho.
 
mmmh....leo!!.....iko kazi
 
Nahisi kama Preta naye yuko hivyo....
 
Ahahahaaaaaaah umenikumbusha maisha ya chuo, kuna dada mmoja tulikuwa tunasoma nae alikuwa mbovu sana akiona kifua cha mwanaume. Watu walivyogundua udhaifu wake basi ikawa ni kama mchezo, watu wanaibuka chumbani kwake kifua wazi...............wengine hata wakienda wamevaa fresh watasingizia joto ili tu wavue mashati..............Yaani yule dada alikuwa akiona kifua tu cha mwanaume hadi mwili unamtetemeka, macho yanalegea na...................
 
Nahisi kama Preta naye yuko hivyo....

Preta naamini yuko hivyo pamoja na wadad wengine wengi humu. Unajua wadada ambao wanatumia kompyuta si wengi TZ. Ukikuta wanoijua basi ujue wameadvane kwa namna kubwa na huwa wana social freedom fulani. Watasoma mitandao kadhaa kuhusu love and sex na pia wanatazama sinema za ulaya (kwa sababu wanazielewa) na zinawafundisha mengi. Ila wadada wa namna hii wana ka-gharama kidogo. Kwanza wanapenda wanaume intelligent au maarufu au wenye angalau uwezo fulani wa fedha na elimu. Pia wanapenda wanaume ambao aidha ni wasafi au wana pesa japo kidogo. Wanawake wa namna hii ni rahisi kugombana nao hasa kama una vitabia vya kibabe (baadhi ya wanaume wanadhani ndo ujanja). Wanawake kama hawa wakikubipu kwa voda kama namba yako ni tigo usibadili line, we piga tu. In short vitu vizuri vina status thus gharama pia.
 
3D chinja taratibu....
 
Jaman jaman jaman amakwel uclolijua lazma lkusumbue mi niljarbu kkuta na demu 2liekua 2nachat nae bonge la sauti tamuu lo kujamwona live kimbembe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom