Ajira za walimu 2014

kiye

Senior Member
Apr 28, 2012
117
24
Jamani msaada, Nimeshindwa kupokelewa katika halimashauri fulani (jina nalihifadhi) kisa sina transcript nami nina provisional results ambayo ina matokeo yoote mpaka Overall GPA.

Wakati halmashauri nyingine zinachukua hata wenye carry over. Jamani nichukue hatua gani nami nahitaji kazi?
 
nenda tamisemi na document zako zote. Ila hapo halmashauri waambie wakuandikie barua inayokutaka uwe na academic transcript ndipo wakupokee. Hiyo barua nenda nayo pia tamisemi. Utanipa majibu ndani ya saa chache ukishatekeleza hayo.
 
fanya alivyokwambia mpili.. NA USIWE LEGEKEGE UWE MKALI ..mnakuwaga wapole sana
 
Back
Top Bottom