Ajira mpya za walimu januari 2013

Jamani wana jf majina ya walimu wapya yametoka mtandaoni?

yaaaani, wewe inaonekana.... elimu yako haijakusaidia sana, time uliyotumia kuja kupost na kuliza hapa si ungeenda kwenye tandao ukaone kama majina hayo yapo au hayapo, pole just experience the situation subject to life challenge!!
 
Heading nazo muwe mnaziweka kwa mtindo wa maswali maana watu wengine wanasoma headings tu na wanaamini kila wanachokiona JF
 
Aksante isaack na hongera kwa kulijua hilo, issue c kuangalia kwenye mtandao tu kuna watu wa info kuliko unavyodhani! nikupe pole kwa kudhani kila kitu kinapatikana kwenye mtandao, kinapofika kwenye mtandao wenzio tayari wanjua kila kitu.
 
Jamani wana jf majina ya walimu wapya yametoka mtandaoni?

pole mwandishi... nimekuelewa though bado yaelekea, hukunielewa vema, may critics ni hapo unapo uliza kama yametoka mtandaoni, wakati huo huo upo mtandaoni. kukusaidia ungeuliza hivi:" post za ualimu zimetoka, au lini zitarushwa kwenye mtandao"
 
Back
Top Bottom