Babylon tower
Member
- Mar 31, 2014
- 60
- 11
vipi wadau hakuna mwenye update kuhusu walimu ambao walihitimu mwaka jana na hawajapangiwa vituo vya kazi kwamba ni lini watapangiwa!?
Kifo cha wengi harusi, Hongereni St. John Dodoma, nendeni mkachukue posho ya siku 3 huko Maporini.ivi na sisi wa vyuo vingine tuliokosa ajira inakuaje ivi awa tamisemi walijuwa st.john tu ndo wamekosa ajira or kesho nawafuata oficin kwao