Ajenti wa Beforward toka Pakistan

päiva

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
240
256
Habari Ndugu

Je Kuna MTU alishawahi kuagiza Gari toka Kwa Hawa wanaojiita maajenti wa Beforward, lakini wengi wao ni watu toka Pakistan?

Je waaminifu ? au matapeli tu?
 
Mara nyingi ukiwa unachat na agents wa Beforward, unachat na Mtanzania au hao wa Pakistani, India etc.

Akwea ufupi, Wajapan ni smart sana, wali outsource customer care kutoka nchi zenye cheap labor.

Siwezi sema kama hao ni matapeli au wa ukweli, kwasababu sijaona email address yao.
 
Ni kawaida Muhimu namba yake ya whatsapp iwe verified pia pendelea zaidi Email mfano kwa SBT nili experience kukutana na wahindi na wala sio matapeli ila hakikisha mawasiliano yanakuwa ya njia tatu Account yako ya beforward,whatsapp no. na Main ni Email.
 
Mara nyingi ukiwa unachat na agents wa Beforward, unachat na Mtanzania au hao wa Pakistani, India etc.

Akwea ufupi, Wajapan ni smart sana, wali outsource customer care kutoka nchi zenye cheap labor.

Siwezi sema kama hao ni matapeli au wa ukweli, kwasababu sijaona email address yao.
Beforward sijui sbt ni za wapakistan sio wajapani
 
Mmoja kunitumia hiyo email haseemkhan41@gmail.com
Hapa unapigwa boss mala nyingi agents wanatumia emails za domain zao kuwa makini mi naamini beforward wako very formal na sidhani kama una sababu ya kuwasiliana na mtu personal kuna namba na ukitaka kupata namba zao official ingia kwa website yao kisha gusa sehemu ya whatsapp utapata namba zao
 
Back
Top Bottom