Ajali ya wanasiasa!

Jan 1, 2012
38
8
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini, mkulima mmoja alisogea kuwatazama. akaamua kuchimba shimo na kuwazika wote, polisi wakafika eneo la tukio mahojiano kama ifuatavyo:

polisi : zipo wapi maiti
Mkulima : Nimezizika zote.

Polisi: una hakika wote walikua wamekufa?
Mkulima : kuna wengine walilalamika kwamba hawajafa , ila si unajua wana siasa walivyo waongo? nikajua wanadanganya tu!
 
Mh jamaa alikuwa kilaza...
Ila hii ni km ilishaletwa last year.
worry out pamoja
 
Back
Top Bottom