Du! Hiyo kali,oksijen wanaipataje? Labda hao mapepo yaani majini. Baada ya mieyi 3 wamilki wa meli hiyo watakuwa na meli kubwa zaidi na za kisasa.Naskia kuna watu bado wako huko kwenye meli wanapiga cmu
hata mimi nimeshindwa kuwaelewa hao watalii, ina maana hata jeshi letu la wanamaji hawawezi kuzamia urefu wa mita 50? Na bado serikali inaandaa sherehe ya miaka 50 kwa bwembwe!! Nilimsikia bbc kamanda 1 wa jeshi huko znz kuwa mpaka meli itolewe huko chini ya bahari na kuileta nchi kavu, hilo zoezi litakwenda hadi mwezi wa 6 (june) mwakani 2012.
Ee bwana nchi ikisha jipotezea heshima usisubirie upewe heshima na taifa lingine inamaa bongo hamuielewi ni sehemu ya majaribio ?