Ajali ya Meli: Waokoaji toka SA washindwa kuifikia, wasitisha rasmi zoezi

hata mimi nimeshindwa kuwaelewa hao watalii, ina maana hata jeshi letu la wanamaji hawawezi kuzamia urefu wa mita 50? Na bado serikali inaandaa sherehe ya miaka 50 kwa bwembwe!! Nilimsikia bbc kamanda 1 wa jeshi huko znz kuwa mpaka meli itolewe huko chini ya bahari na kuileta nchi kavu, hilo zoezi litakwenda hadi mwezi wa 6 (june) mwakani 2012.
 
Ukweli haiingii akilini, hawa jamaa walikuwa wanajua yote hayo na wanajua uwezo wao lakini bado waliamsha safari na kuja ilimradi wamefika Zenji, labda walifata karafuu hawa, sasa meizi sita unaibua nini, maiti au chuma chakavu?
 
Sasa mita 50 mbona vijana wangu kule ritui,mbambabay na manda wanaweza dive!
Au waliambiwa wanakuja opoa watu kisimani?
Alafu ili jeshi la maji halijawezeshwa tuu iyo kazi wanaweza imudu!
 
Ee bwana nchi ikisha jipotezea heshima usisubirie upewe heshima na taifa lingine inamaa bongo hamuielewi ni sehemu ya majaribio ?

Hivi kile kikosi kinachovaaga nguo nyeupe kwenye magwaride uwa kina kazi gani hasa? ina maana wale hawawezi hata hiyo mita 50 tu?
Bongo zaidi ya uijuavyo.
 
hata mimi nimeshindwa kuwaelewa hao watalii, ina maana hata jeshi letu la wanamaji hawawezi kuzamia urefu wa mita 50? Na bado serikali inaandaa sherehe ya miaka 50 kwa bwembwe!! Nilimsikia bbc kamanda 1 wa jeshi huko znz kuwa mpaka meli itolewe huko chini ya bahari na kuileta nchi kavu, hilo zoezi litakwenda hadi mwezi wa 6 (june) mwakani 2012.

Kwa technologia iliyopo kwa sasa hivi meli hiyo yaweza kabisa kuinuliwa, kwa mfano Submarine ya Kursk iliyozama katika kina cha mita 100 tu tarehe 12 August 2000, na kunyanyuliwa 8 Oktoba 2001 kwa gharama kubwa ya £44 millioni (zaidi ya Tshs 113 billioni=3 Kagodas). Tatizo lililopo ni uwezo wa Tanzania kulipia gharama zake. Sioni mantinki ya kulipa fedha kuinyanyua hiyo meli badala ya pesa hizo zingekuwa zimetumika kununua vyombo bora ya usafiri na uokozi. Kwa maoni yangu uwezo wa kuiinyanyua meli hi ya Spice Islander toka kina cha mitaa 500 au zaidi ni zaidi ya uwezo wa serikali ya Unguja au ya Jamhuri ya Muungano kama maslahi binafisi hayawekwi mbele. Siku zote kinga mbona ni bora kuliko tiba!!!
 
Wenzetu wana vikosi standby vinaitwa Rapid Response kunapotokea janga wanakuwa deployed within 24 hours kuja kujaribu kuokoa maisha na sio kuja kuiibua meli kugesabu miili. Wamefika nchini wamekaa 5 days wameshagundua there is no hope ya kusave lives. Hivyo hivyo ya kuzama mita 54 tuu ni kisingizio!. Wanaijua rate ya disintegration ya human body kwenye maji chumvi!. Wamejionea bora watoe excuse na kesho wanaaga na kuishia zao.

Tusiendelee kujidanganya na kujipa matumaini ya kuibua MV Spice Islanders. ukweli nikuwa meli ilipolalia ndio imefika!. Tuweke boya la utambulisho na kusali misa/dua ya jumla kwenye kaburi hilo la baharini!. Kwani MV Bukoba tulifanya nini?!.
 
BALOZI SEIF@SMZ yatangaza Rasm kushindwa kuokoa miili iliyosalia chini ya meli,baada ya waokoaji wa ndani wa nje kushindwa kuifikia Meli hyo iliyo mita 300,
Hata hvyo amebainisha kuwa eneo hilo litakuwa la makaburi.
Source.channel ten
 
Kuna post moja humu inasema kuwa Serikali imesimamisha makusudi utafutaji wa maiti katika meli iliyozama kwa "sababu ya kuficha aibu, na uzembe wao".

Kwa kiasi kikubwa ninakubaliana na hoja hii kwa sababu, ikiwa S.Afrika haina uwezo, nchi nyengine zenye uwezo zipo na kama wakiomba msaada wanaweza kufanya. Kuna nyamizi nyingi tu ulimwenguni zilizama na maiti au waliokuwemo kuokolewa.

Kwa kusema tu kuwa imeshindikana haitoshi kwani hawajachukua juhudi zote. Maiti zinaweza zisipatikane, lakini kumbukumbu za waliopoteza watu wao zitabaki milele, hasa wakielewa kuwa kuna uzembe umepita.
 
Dah! Inauma sanawatanzania hatuna wa kutusaidia, tunakufa na maiti zinaliwa na samaki, haya bana!
 
Aaaah inatia uchung sn hasa kama umemooteza mtu wako wa karibu kisha juu ya yote unashindwa kumzka analiwa na samaki! Mungu ndo muweza wa yote,twapaswa kumshukuru kwa kila jambo
 
hii lilikuwa wazi tangiapo maana wakizitoa hizo maiti itakuwa ni aibu kubwa sana kwa zanzibar na taifa kwa ujumla na kama unavyo jua serikali hii inaogopa ukweli kama ukoma..poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom