Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha!

Hii thread imekaa sawa hapa jukwaa la siasa?
POle sana kwa waliofiwa, may the sauls of the deceased rest in peace.

Hv wewe R! Unataka matukio ya kutisha ya ku2potezea ndg,jamaa na hata marafiki ikaage wapi? Licha ya kuleta changamoto ktk jukwaa iliyowekwa habari ww unaleta mambo ya maswali ya jukwaa hapa. Watu wengine ambao tunawaaminigi ni wadau wenye uwelewa kumbe sometime ni mzigo kweli. Poleni wote walioguzwa kwa namna yoyote ile na msiba mkubwa kama huu wa kuwapoteza ndg na marafiki kwa wakati mmoja. Juzi tu Sumry jana Zakari leo tena sijui ni lipi tena. Mmmmh!! MUNGU BABA UKETIE KITI CHA ENZI TUNAKUOMBA TULINDE WANA WAKO KTK HALI YOYOTE TUNAYOENDA,SISI NI WAKOSAJI WA MARA KWA MARA LAKINI MUNGU WETU KANYANYUWE TENA KICHWA NA UTUPE MALAIKA WAKO WA KUTOKASHA KTK NCHI YETU,TUNAIMANI YA KUTOSHA YA KWAMBA UTATUPA MALAIKA WA KUTOSHA KATIKA MAJIRA HAYA MAGUMU TULIYOKO. Amen!!!!
 
mara delux mara shabiby what is what and which is which?
iwe delux.iwe shabiby kinachoongelewa hapa nia ajari kubwa imetokea....poleni amilia za marehem na tunawaombea nafuu kwa majuruhi wote a ajari.........sasa tatzo kama la mv spise mtalisikia lakutokuwa na idadi kamili ya waliokuwa kwenyebasi lile.
 
Dar shabiby mkuu mbona mwendo wake huwa ni mzuri tuuu!

Jamani, jamani. Kama ndo hivyo, lazima nisema, LAANA INATUTAFUNA WATANZANIA. HAIWEZEKANI AJALI MBAYAMBAYA MFULULIZO NAMNA HII. AISEE KWELI?

RIP DEARS
 
Kwa wale wenye uzoefu wa kusafiri la basi la shabib dom-dar watakubaliana na mimi kuwa huwa linapakia watu wengi na pia linaendeshwa kasi sana. And so you can imagine idadi ya watu walopoteza maisha.

Mkuu hapa umetumia hisia zaidi kama lengo lako ni kusema hua linabeba watu kupita uwezo wake. Napinga hili kutokana na uzoefu wa kusafiri nalo Dom-Dar. Shabiby ni kati ya mabasi ambayo yanapakia watu kwa kiwango cha viti vilivyomo tu na halina tabia ya kuchukua watu barabarani ambao hawajakata tiketi ya kusafiri nalo.

Salamu zangu za rambirambi kwa wafiwa wote na waliojeruhiwa nawatakia ugua pole.
 
basi gani limepata ajali.. Mwaleta siasa hata ktk ishu nzito kama hii..
 
Ni habari ya kuaminika kutoka Chanel ten kuwa ni ajali ya bus la Deluxe japo wanahabari wa tz huwa wana copy na kupaste sasa inawezekana hata waandishi wa Chanel ten hawako kwenye tukio ila ndoo wamelipotu kuwa ni bus la Deluxe,
Mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zetu aminaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom