Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha!

mara delux mara shabiby what is what and which is which?[/QUOT

Hivi wewe utapona lini huo ugonjwa wa pumu maana watu wanaongea vitu vya maana ila wewe unaendekeza ugonjwa wako sugu wa kutokunywa dawa ili upone,,, wote tumepata taarifa ya bus tofauti,, kwahiyo hapa kikubwa ni kujua nia ndugu zetu wangapi wamepona na wangapi wametutoka,,,
Acha ushamba wa kijijini au ndoo mara ya kwanza kuingia jamvini na kutoa maoni maana inawezekana hujui maana ya thread za msingi humu jamvini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Yote haya yana uhusiano gani, yeye ameuliza kutaka kujua ni basi gani limepata ajali, wewe mdomo juu! Nani mshamba baina yake na wewe hapo?
 
mara delux mara shabiby what is what and which is which?[/QUOT

Hivi wewe utapona lini huo ugonjwa wa pumu maana watu wanaongea vitu vya maana ila wewe unaendekeza ugonjwa wako sugu wa kutokunywa dawa ili upone,,, wote tumepata taarifa ya bus tofauti,, kwahiyo hapa kikubwa ni kujua nia ndugu zetu wangapi wamepona na wangapi wametutoka,,,
Acha ushamba wa kijijini au ndoo mara ya kwanza kuingia jamvini na kutoa maoni maana inawezekana hujui maana ya thread za msingi humu jamvini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu sijaona tatizo la jamaa kutaka kujua ni bus lipi limepata ajali, sasa wewe hasira zote hizi ni za nini?
 
Ajali imetokea mlandizi. Tyre burst ikapinduka na kuwaka moto.

sio mlandizi ni misugusugu pia waliopolewa ni wachache sana wengi wameteketea kwa moto uamuzi ilikuwa ni kuzika hapa hapa eneo la tukio lakini uamuzi ni kukusanya majivu
 
Oooh my God! I now start being so curious that there could be SATANIC WORSHIP in our country.

25th October 2011 18:15 shabibiby.jpg
 
attachment.php
 
sijawahi kuona ajali ya kutisha kama hii ni mikaa tu imebaki jamani abiria zaidi ya 35 wameteketea kwa moto
 
Back
Top Bottom