Ajali tu

ng'wanankamba

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
345
118
Binti: Mama nina mimba...
Mama: Shenzi kabisa!, haya imekuwaje na tokea lini?
Binti: Bahati mbaya , ni ajali tu mama.
Mama: Pumbafu zako,unataka kusema ulikuwa unatembea tu barabarani ndo ukateleza ukaangukia uume.
 
ha ha haa, nlikua cjacheka siku nzima, mungu akubariki!
 
Back
Top Bottom