Ajali nyingine Mbeya

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078

Maiti ikinasuliwa kutoka kwenye moja ya magari yaliyopata ajali katikaeneo la pipeline mkoani Mbeya, ajali hiyo imetokea hivi punde. Tutawaletea taarifa juu ya chanzo na mengineyo kadiri taarifa zitakavyokua zinatufikia.
Source; MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo

Polisi wa Usalama Barabarani wafanye kazi waliosomea, vinginevyo hizi ajali zitamaliza watu. Ni mara chache sana kutokea ajali ya kawaida ambayo haihisishi uzembe wa dereva au gari kutofanyiwa ukarabati.
 
Ama kweli huyu Israel ametuamulia mwezi huu.

Eee Mola tuepushie kikombe hiki.

Tuanashukuru kwa taarifa, endelea kutupatia updates.
 
ama kweli kuna watu na viatu yani badala ya kusaidia waliopata ajali we umekazana kupiga mapicha.

ndio maana kunawaandishi wa habari......! hujasoma division of labor and specialization wewe??? kama wote wangewasaidia majeruhi nani angetuletea nasi habari...!
 
MUNGU WETU! Kashushe Malaika wako Mungu wetu,usitupite mwokozi wetu,tunakulilia MUNGU! Sisi ni wakosaji lakini MUNGU mwenye huruma ukatuhurumie.
 
Jamani yani ndio ishakuwa kila siku lzm tusike ajali mbaya za kuuwa watu,ee mungu tunusuru,na roho za marehemu zipumzike kwa aman!
 
Mkuu wangu poleni sana sana, hebu tupe kwa ufupi ni gari gani hilo lingine maana naona mabati tu, poleni sana
 
ajali ndo zinazidikuondezeka polen kwa wote waliopata matatizo hayo
 
ama kweli kuna watu na viatu yani badala ya kusaidia waliopata ajali we umekazana kupiga mapicha.

Acha ujinga, ungejuaje kuwa kuna ajali mbeya? Je hakukuwa na watu wengine wa kutoa msaada zaidi ya mpiga picha? Ama ulitaka mpiga picha asaidie ndipo furaha yako ikamilike. Elewa kazi ya Mwandishi ni kutoa taarifa iliyokamilika kama ilivyo kwa daktari na manesi kutibu. Hata ikiwa utakuwepo hospitali hautaruhusiwa kuingia chumba cha upasuaji kwa kigezo cha kuwasaidia manesi kusukuma torori/kitanda cha mgonjwa. Vivyo hivyo hata mwandishi, akikukuta unakata roho kazi yake ya kwanza ni kukupiga picha, kukubeba baadae.
 
ama kweli kuna watu na viatu yani badala ya kusaidia waliopata ajali we umekazana kupiga mapicha.

yeye ni mtu wewe ndio kiatu chenyewe,sio lazima uchangie sa ingne pita 2 ndugu,Mungu atusaidie na kutuepushia hzi ajali jamani
 
ndio maana kunawaandishi wa habari......! hujasoma division of labor and specialization wewe??? kama wote wangewasaidia majeruhi nani angetuletea nasi habari...!

Good! Jibu zuri,naunga mkono,kila mtu na kazi yake bana
 
rip marehemu wote, pia poleni wale wote waliopoteza ndugu zao.
 
Back
Top Bottom