Ajali mbaya ya moto(pichani anahitaji msaada wako)

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Jan 8, 2010
1,005
82
Wapendwa watanzania wenzangu kijana kwenye picha ni mtoto umri miaka 10 amepata ajali ya moto,yupo muhimbili anahitaji msaada wa chakula,fedha na matibabu kwa ujumla ni gharama.hivyo tunaomba wadau wa jamii forum kama unaweza mwende muhimbili pale mkamsaidie kijana huyu tafadhali.ANAITWA JUSTINE METHOD KALAZWA WODI YA WATOTO FLOOR YA NNE
 
Attachments

  • AJALI.jpg
    AJALI.jpg
    40.5 KB · Views: 334
  • AJALI 3.jpg
    AJALI 3.jpg
    57.3 KB · Views: 313
  • AJALI 2.jpg
    AJALI 2.jpg
    35.6 KB · Views: 318
jamani tusibaki kusikitika tu mwenye chohote apreg hapa au aende mhimbili akajionee mwenyewe tusibaki tu kusema inasikitisha kama kweli tuna moyo tatizo ndio hilo tujitahidi!mtoto anaumia huyu kweli hali halisi ndiyo hiyo inaonekana tumsaidie sio pesa tu hata sabuni,pamba na kadharika maana mwingine anaweza fikiria msaada ni fedha tu no tuangalie hapo hali halisi anahitaji nini na nadhani hospitali zetu mnazijua unaweza lazwa ukaambiwa matibabu wiki ijayo manesi wanakupita tu na kuongea maneno ya kejeli
 
This could bring much sence if you could not bring news like these while Dancing in your bedroom as shown in your avatar!!
Pole kijana
 
Wapendwa watanzania wenzangu kijana kwenye picha ni mtoto umri miaka 10 amepata ajali ya moto,yupo muhimbili anahitaji msaada wa chakula,fedha na matibabu kwa ujumla ni gharama.hivyo tunaomba wadau wa jamii forum kama unaweza mwende muhimbili pale mkamsaidie kijana huyu tafadhali.ANAITWA JUSTINE METHOD KALAZWA WODI YA WATOTO FLOOR YA NNE
Joyce ungetoa japo mawasiliano ya simu, ili walio mbali na Bongo wapate nao kuchangia kwa wale wenye uwezo.

Inasikitisha sana, pole sana Justine Method, Mwenyezi Mungu akuponyeshe haraka Insha'Allah.
 
Hakika ni simanzi kubwa ila niseme kuwa si kiila mtu ataweza kufiak Muhimbili kwahiyo kama hao ndugu zake hususan anayemwuguza angekuwa na akaunti michango ingeweza kumsaidia huyu mtoto. Ee Mungu mponye mtoto huyu. Amen.
 
Inasikitisha, inahuzunisha,
HAKIKA SOTE TUMEUMBWA NA DUNIANI TUNAPITA TU.
 
Weka namba ya simu,tafadhali.wengine tuko mbali tunaweza rusha hata kwenyesimu kidogo tulichonacho.tafadhali fanya hivyo,msaada wako mkubwa nikama utarudi pale nakuchukua namba ya simu.nahuyo ndugu awe ni wadamu au mwenye uchungu nae kweli.
 
Wapendwa watanzania wenzangu kijana kwenye picha ni mtoto umri miaka 10 amepata ajali ya moto,yupo muhimbili anahitaji msaada wa chakula,fedha na matibabu kwa ujumla ni gharama.hivyo tunaomba wadau wa jamii forum kama unaweza mwende muhimbili pale mkamsaidie kijana huyu tafadhali.ANAITWA JUSTINE METHOD KALAZWA WODI YA WATOTO FLOOR YA NNE

Very sad news, but your avatar is not making any sense (unakatika huku umevaa chupi tu), plaese fear your lord.

Your body is for your husbund only it is not for every body.

please send me the kid parents' account number in order to help this poor kid.

I pray to Allah to cure him Inshallah.

Oh my Lord please cure this poor Kid and bring his health and his shape back, Amin
 
Ungetoa ilani kwamba umebandika picha zenye kutisha.
Mungu amrehemu huyo mtoto, pia unaweza kuwashauri wazazi wake wafungue a/c benki tudumbukize pesa huko au tumtumie kwa simu maana si kila mtu ataweza kwenda kumuona pale muhimbili
 
This could bring much sence if you could not bring news like these while Dancing in your bedroom as shown in your avatar!!
Pole kijana

Avatar doesnt matter broda,we have take the msg........Real the boy nid our help..plz Joyce si kila m2 ataweza kufika Muhimbili.... do the nidful..Weka hata namba ya cim with all details for M-Pesa.
 
Joyce anaonekana yupo online lakini anashindwa kutufahamisha kama anawez kupata namba za simu au la!
 
very sad news, but your avatar is not making any sense (unakatika huku umevaa chupi tu), plaese fear your lord.

Your body is for your husbund only it is not for every body.

Please send me the kid parents' account number in order to help this poor kid.

I pray to allah to cure him inshallah.

Oh my lord please cure this poor kid and bring his health and his shape back, amin

avatar isikusumbue hata taarifa hiyo nishafanya kazi ya mungu tayari.nenda kamsaidie ndo suala la muhimu
 
avatar isikusumbue hata taarifa hiyo nishafanya kazi ya mungu tayari.nenda kamsaidie ndo suala la muhimu

Mtoto anahitaji msaada. Mawasiliano ya simu yakipatikana itakuwa poa.

Nakubaliana nawe kuwa avatar yako haihusiani na post hii. Actually, siishangai avatar yako naishangaa Jamii Forums kwa avatar hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom