Ajali mbaya imetokea Morogoro road,wazungu wa 3 wamekufa.

Oooh poleni sana, wamekufa watu wangapi na wazungu wangapi? Poleni sana
 
Ninachokiona hpo ni kuwa wazungu 3 hawakiweza kutambua zile ishara zetu za kuweka majani barabarani na hii huwa inawacost foreigners wengi sana kwenye hizi highway zetu...hivi kale kasheria kakutotumia majani kama ishara hakajaanza kufanya kazi eeeh!?..nway R.I.P wazungu 3
Huu ujima nao unatumaliza sana... tumeshaona kuweka majani ni sehemu ya ustaarabu wa usalama barabarani. Mlale mahali pepa wazungu wa3
 
aah! hizi ndo fikra za kujibagua. kwani lazima useme wazungu? wangekuwa weusi ungesemaje?
acheni nidhamu za kishenzi....alaaaa.
 
Tatizo wazungu nanyi mna kiburi sana. Mmezoea kutudharau na kuona hata sheria zetu za kipuuzi. Haya RIP wazungu watatu.
 
Naona dada zetu hii thread wanachangia sana, hawa wazungu bora wafe wengi zaidi ili maelewano kati yetu na dada zetu yaendelee kuwepo. Hawa jamaa wanatukosesha mengi:shock::shock::shock:
 
Naona dada zetu hii thread wanachangia sana, hawa wazungu bora wafe wengi zaidi ili maelewano kati yetu na dada zetu yaendelee kuwepo. Hawa jamaa wanatukosesha mengi:shock::shock::shock:

ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hapo umetoboa nazi kwa kuibonyeza na kidole.
 
Back
Top Bottom