Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Unafiki wa hali ya juu, kila baada ya saa wanatupia selfie kuonyesha wanalia zaidi. Hizo captions sasa " Umeondoka jamani nani ataniambia nimependeza", "nani nitaenda escape1".
:):):):):) umenifanya nicheke hahaha
 
Mkuu jinsi gari ilivyopata mzinga tu na muonekane wa gari yenyewe marehem lazima alipata shida,kwanza hakufunga mkanda so ktk misukosuko ya ajali na kishindo alijikuta(sijui nisemeje maana inaonekana aliipasua airbag ya kwenye sterling kwa uso wake coz kalaza uso kwenye usukani).hizi airbags huwa wanatengenezea kitambaa kigumu kama turubali ila material yake ni ngumu sana sasa kumpasukia mtu usoni sio jambo dogo.
Kweli kafa kifo kibaya sana
 
Teh teh teh. Babu mtata huyo balaa. Ndo maana nikasema nimekaa kando 'mguu ndani, mguu nje' nisikilizie kipindi cha pili, najua tu supu ataitia nazi very soon afu mie kilainiiiii nachukua ushindi wa mezani. Mbio za nyikani huwa sio nguvu kiviiiile, akili tu. lol
Kumbe ndio zake eeeh! Sitaki kuamini mahaba yote anayonionyesha mwisho wa siku supu haitanyweka:(. Asprin , sema neno moja tu na roho yangu itapoa.
 
R.I.P na pole kwa wafiwa" naskia ni ajali ya pili Marie anatoka mzima yakwanza alikua na bwana wake akavuta wayback mkoa huko mbeya tunduma before hajaja dar es salaam kutafta maisha kuHustle kama watoto wa mjini wasemavyo na Kalvin Marehem alikua akimsomesha Chuo kimoja mjini kati. Naombea tu atoke hospital na reception isiwe imeharibika mana ndio kitega uchumi chake kikubwa maana shape hajajaliwa.
Source Mtu wa karibu
Aiseee
We ndio umetoa new info leo
 
POST HII MUHIMU
RATIBA YA KUUWAGA MWILI WA MPENDWA WETU CALVIN NICOLAUS KAVISHE (KALOOSH)

KESHO SIKU YA JUMATANO
Saa 9:30am:Kuuchukua mwili wa marehemu kutoka Muhimbili Hospital.

Saa1O:30am:Watu wote kushiriki misa ya kumuombea Mpendwa wetu katika kanisa la St Thomas Mbezi Beach.

Saa11:30pm:Watu wote kushiriki zoezi la kuuwaga mwili wa marehemu kanisani.

Saa1:30pm:Kuanza safari ya kuelekea Rombo kuupumzisha mwili wa mpendwa wetu Kelvin Kaloosh

UJUMBE HUU NI MUHIMU SANA RUKSA KUSHEA NA KUWAJULISHA MARAFIKI WA KARIBU WA KALOOSH NA WENGINEO..
 
Tangia Lini TANDALE Ikawa Marekani?
Mkuu nlipita hapo social service naona wametuletea kichwa kipya na lile jembe linapigisha darasa chuoni kule daaah nkazan wangekupa wewe ulaji bana au na nyie mna uvatican na ukanda???
 
Tangia Lini TANDALE Ikawa Marekani?
1454406900835.jpg
 
Hutu marehemu kama hajulikani na lemutuz akili kubwaz bas hakuwa celebrity town..lemutuz ndio TBS wa macelebrity ukiona mpaka sasa hajapost msiba wake jua alikuwa wa kawaida ..rip
 
Huyo SayMaria atakuwa Kama Lulu Kama Boyfriend wake wa kwanza alifariki kwa ajali na Huyu wa pili kwa ajali halafu zote yeye anatoka mzima basi ni hatari kwa ma future boyfriends.
 
Back
Top Bottom