Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Niko Muhimbili na masahibu yangu naona ndio gari inaingia Mortuary kuchukua mwili wa Kaloosh...
Vijana wamenyukilia hatari..mawani makubwa ...wenye kuvaa Ma Tshirt yenye picha ya marehem..ma celebrities wa bongo nao hao..sipatii picha huko Nyumbani mwili unakoagiwa

RIP Calvin... mbele yake nyuma yetu
 
Dandia gari uende ili uje kutuhabarisha
 
Niko Muhimbili na masahibu yangu naona ndio gari inaingia Mortuary kuchukua mwili wa Kaloosh...
Vijana wamenyukilia hatari..mawani makubwa ...wenye kuvaa Ma Tshirt yenye picha ya marehem..ma celebrities wa bongo nao hao..sipatii picha huko Nyumbani mwili unakoagiwa

RIP Calvin... mbele yake nyuma yetu
Wauza sura hapo sipati picha...simu marashi mavazi na hata magari ya kuazima vyote vipo hapo
 
Watu watamuogopa basi, mana kama huyu ni wa pili halafu wote wameondoka na ajali ye anasalimika ni Hatari sana
Waache waongope tu sisi tutajilia kimya kimya! mbona lulu tunamtuliza mtima wake sembuse awe huyo marire? Maisha yenyewe haya ambayo hata hayaeleweki kufa ni kufa tu nani akubali kufa bila kula papuchi na zilivyo tamu hasa hivi zinazo dondoka na watu
 
Devil's advocate hata hata yaweza kuwa ni malaika wa kifo
Unanipaga raha kiongozi kwa kisima cha maarifa ulicho nacho ili watu wakuelewe inawahitaji nao kuwa na maarifa juu ya mambo mengi.
Ni raha iliyoje kuwa na uelewa wa mambo mtambuka.
Yaweza pia kuwa ana spirit za mikosi anazojua kuwa anazo au hajui kuwa anazo na wahanga kuwa wale anaoshiriki nao mahusiano yenye kulenga kumfanikisha.
 
Mkuu umesema kweli kabisa kuhusu uzembe uliokithiri yaani watu wasipobadilika hakuna tutakaposogea ktk maeneo mengibya maisha! na kwa style hii tulio nayo waafrika wengi ya kuisingizia bahati mbaya ndo maana hatuendelei! we must change our thinking pattern!! mfano hizi habari za ajali za mabasi asilimia kubwa sana ni uzembe!! utakuta dereva anaendesha basi mwendokasi sana, abiria wanamshangilia tu then ajali inatokea watu wanaanza mara siku ilifika mara ndo ilipangwa wafe kwa ajali! yaani hadi mtu unashangaa kuwa hivi huyu dereva aliyekuwa anaenda mwendo kasi au anaovertake sehemu ya hatari alitaka aje aambiwe na malaika? mfano mdogo angali kwa mji dar taa nyekundu zikiwaka ndo utadhani umewaambia watu piteni! ajali ikitokea utasikia bahati mbaya!I hate this kind of uzembe in the name of bahati mbaya!!
Mimi huwa nashangaa baadhi ya maeneo ikifika saa tano basi watu hawafwati taa za barabarani anachomoka huko utadhani hakuna taa sasa pale unapokukuta wewe unayetumia taa anakazana kukupigia honi nyingi nini matokeo yake wanaishia kupata ajali. Uzembe na kuchukulia poa.hakuna nchi inayodharau sheria kama yetu tazama hata waenda kwa miguu wanavuka ovyo ovyo tena mbele ya polisi wa barabarani ni vitu vya ajabu
 
Niko Muhimbili na masahibu yangu naona ndio gari inaingia Mortuary kuchukua mwili wa Kaloosh...
Vijana wamenyukilia hatari..mawani makubwa ...wenye kuvaa Ma Tshirt yenye picha ya marehem..ma celebrities wa bongo nao hao..sipatii picha huko Nyumbani mwili unakoagiwa

RIP Calvin... mbele yake nyuma yetu

RIP Calvin
 
Mimi huwa nashangaa baadhi ya maeneo ikifika saa tano basi watu hawafwati taa za barabarani anachomoka huko utadhani hakuna taa sasa pale unapokukuta wewe unayetumia taa anakazana kukupigia honi nyingi nini matokeo yake wanaishia kupata ajali. Uzembe na kuchukulia poa.hakuna nchi inayodharau sheria kama yetu tazama hata waenda kwa miguu wanavuka ovyo ovyo tena mbele ya polisi wa barabarani ni vitu vya ajabu
Iron Lady umesema ukwel kabisa! si waendesha magari wala watembea kwa miguu wengi wao sana hawafati sheria. mimi mara nyingi nikiwa naendesha usiku namuomba Mungu nisipate ajali lakini pia nisisababishiwe ajali na pia nakuwa zaidi ya muangalifu yaani najitahidi kuendesha gari langu na la dereva mwingine, maana unaweza kuta wewe umefata sheria zote lakini mzembe mmoja anakuja kukusababishia ajali! yani usiku kuna watu watu wanaendesha utadhani wametumwa damu za watu! hawajali kama kuna ajali! kwa kweli bado tuna safari ndefu ya watu kufauta sheria za barabarani! mfano ndo huo ulioutoa mtu anakuona umesimama wakati taa nyekundu imewaka na yeye anaiona ila anakupigia honi utadhani umesimama wakati green imewaka!
 
12662462_1375711852446097_2914563462953588181_n.jpg

RIP
 
Mpaka hapa page ya 4 post ya 70 hakuna yeyote aliyeelezea vizuri kuwa marehemu ni nani na alikuwa na impact gani kiuchumi. Huko insta obviously sitegemei info ya kueleweka kutokana na nature ya watumiaji. Jf ya siku hizi ni jipu sugu linalopaswa kutumbuliwa kwa baruti walah. Anyway Mola akuweke unapostahili marehemu
View attachment 320384

Haaa hii nchi bwana kuna vituko yaani unamachungu ya msiba unafungua insta unaandika ujumbe huku unalia na huku unajipga picha....RIP mabazazi kama huyu anae bongomovie hapa....sio wewe mkuu namanisha wolpna
 
Chachu Ombara said:

KK alimkamata mwana semester ya mwisho kisa alikuwa anaruka na dogo wa mshikaji wake, kilichompata anakijua mwenyewe.

Chachu Ombara hapa sijakuelewa
huyu KK ndye Marehemu Mrombo Kavishe Kaloosh alikuwa Tutor mpaka amkamate Kimwana katika Semister ya mwisho au ni celebrit wa vimwana akawazinguwa wakafeli
kwani wasifu wake hamkuuelezea anakotokea kwani vijana wa kiro,mbo wapompakani na ni wafanyabiashara haswa wanaoogopewa baada ya Mkibosho
RIP kALOOSH
 
Si kweli mkuu wangu... Wachagga wa kirombo ndio wanaongoza kwa ubrazamen na ubishololo huku mijini... Wamachame na Wamarangu wao ni shule na biashara... Wakibosho pia ni biashara kwenda mbele.. Katika wanawake wa Kichagga wanasema wanawake wa Kirombo ndio wachapakazi kuliko wanawake wengine wa kichagga.... In short, wanaume wa kirombo ni ubishololo tu huku mijini kwa kuwa wanadekezwa na mama zao ambao ni watafutaji haswa...
 
Mimi huwa nashangaa baadhi ya maeneo ikifika saa tano basi watu hawafwati taa za barabarani anachomoka huko utadhani hakuna taa sasa pale unapokukuta wewe unayetumia taa anakazana kukupigia honi nyingi nini matokeo yake wanaishia kupata ajali. Uzembe na kuchukulia poa.hakuna nchi inayodharau sheria kama yetu tazama hata waenda kwa miguu wanavuka ovyo ovyo tena mbele ya polisi wa barabarani ni vitu vya ajabu

Aisee ni kweli kabisa.

Kuna siku nilikoswa koswa pale Morocco mishale saa saba usiku sitakuja kusahau.

Upande wangu taa ya kijani ilikuwa imewaka...sasa wakati napita akaja mtu na kigari kutoka upande mwingine akapita tu wakati taa za huo upande ni nyekundu.

Aliponikosa kosa akaanza kupiga honi utadhani yeye ndi alikuwa na right of way.

Mimi huwa nasema ajali nyingi sana za barabarani Tanzania huwa zinaepukika kirahisi sana.

Tatizo mtu ukifuata hizo sheria za barabarani watu wanakuona falla.

Oh well.....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom