King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,721
- 68,721
poleni sana wahanga. usishangae kuwa chanzo ni mwendo kasi sasa jiulize kipindi cha UBU kinawasaidia watu??????????????
UBU ulaji wa watu huo
poleni sana wahanga. usishangae kuwa chanzo ni mwendo kasi sasa jiulize kipindi cha UBU kinawasaidia watu??????????????
Hii ni Ligi sasa.
Taarifa yako haijakamilika; limepinduka wapi na lini?
ni kweli limepunduka na hakuna vifo. mm nipo hapa maeneo ya maganzo mwadui.kwenye ajali
Limepinduka leo asubuhi na chanzo wanasema ni mwendo kasi uliopitiliza kiasi kwamba ikitoke likagongana na basi jingine (uso kwa uso) mabasi hayo yatavaana na kuwa basi moja.!
Hii sijui itakua mpaka lini, viongozi wetu sijui wana fanya nini au tuamini usemi ulioenea mtaa kua viongozi wetu wanapenda zaid kutuma salamu za rambirambi kuliko kuokoa maisha.
mmmh! Kugongana kote huko hafafu hamna taarifa ya kifo!.Ebu 2subiri habari kamili