Ajali Basi la mohamed Trans lapinduka

Hii ni Ligi sasa.

Mkuu hii sio ligi. You are still ignorant. And "hujui unachosema".

Mimi nachomaanisha hapa ni kwamba, mpaka tulipofika sasa. Tanzania ukiwa unasafiri, roho yako iko mkononi..

Swali, kwanini roho ziwe mkononi. Sababu moja na kubwa, ni kwamba sector ya usafirishaji Tanzania ni "hatarishi". Na ndo maana ajali zinatokea mara kwa mara.

Kwasasa, kusafiri Tanzania ni hatari. Kuliko hata kunywa maji ya mtoni yasiyochemshwa.

Mkuu, ngoja kesho uanguke na basi. Afu uende hospitali ukatwe miguu yote miwili. Afu uje hapa JF tukupe "pole" kama itakusaidia....au usikie mke, mtoto au mzazi amepinduka na basi.

Ajali ya ndege kigoma utasemaje. Na ile ni bahati mbayaaa?????
 
ni kweli limepunduka na hakuna vifo. mm nipo hapa maeneo ya maganzo mwadui.kwenye ajali
 
ni kweli limepunduka na hakuna vifo. mm nipo hapa maeneo ya maganzo mwadui.kwenye ajali

kaka tujuze kinachoendelea hapo nini kwa sasa na je dreva yupo ?, utaratibu unakwendaje hapo?
Majeruhi wamepelekwa wapi?
Na wale waliopona wemeishaletewa gari la kuwafikisha dar?
I'm waittin' for fidbak
 
Limepinduka leo asubuhi na chanzo wanasema ni mwendo kasi uliopitiliza kiasi kwamba ikitoke likagongana na basi jingine (uso kwa uso) mabasi hayo yatavaana na kuwa basi moja.!

mmmh! Kugongana kote huko hafafu hamna taarifa ya kifo!.Ebu 2subiri habari kamili
 
Hii sijui itakua mpaka lini, viongozi wetu sijui wana fanya nini au tuamini usemi ulioenea mtaa kua viongozi wetu wanapenda zaid kutuma salamu za rambirambi kuliko kuokoa maisha.

Sio kila kitu lawama zinapelekwa kwa viongozi. Abiria waliokuwa kwenye hiyo gari wakati inaenda mwendo kasi walichukua hatua gani ? Mbona hawakumpigia kelele dereva apunguze mwendo au walikuwa wamelala !!! Inakuwaje dereva anaendesha gari kwa mwendo kasi abiria wametulia, ajali ikitokea Serikali inalaumiwa ilihali namba ya Makamanda wa Polisi mikoa/wilaya zilishatolewa. Uzembe unaanzia kwetu sisi abiria.
 
Back
Top Bottom