AJABU: Chenge aitetea DOWANS ilipwe!

Hizo tarehe zisikutishe waulize ma mods, sisi wengine tupo JF toka enzi za Jambo. una nini wewe?

Ahsante kuwa mkweli ya kwamba upo miaka mingi, lakini huna ukweli!! ungekuwa mkweli usingeaga na kurudi kwa jina lingine.
Wewe Faiza Foxy ndiye Maji mshindo.
 
mi naona sawa tu..ujinga na upumbavu wa serikali ya Tanzania hauwezi ukawa ni kisingizio cha kutaka kusamehewa pale wanapokiuka mikataba hata kama ni feki...they deserve it and they have to pay the cost of their ignorance...hakuna kuuma uma maneno katika hili...chenge kafanya kazi yake kama proffesional and for this congrats to Chenge....Si wamelikataa jiwe kuu la pembeni kazi kwao sasa
 
Fisadi siku zote atakuwa fisadi hata siku moja hawezi kusimama ili kutetea maslahi ya Watanzania bali kutetea vijisenti vyake alivyoahidiwa na Rostam. Ashukuru alizaliwa Tanzania na siyo China.
 
kigogo;don't take that issue as easier like you are saying .....besides think first about TZS 94billions it'll be paid by you and me..?

while on other other hand kwa kutumia the same you call it sharia ....it's possibly to deny that process cause it's base protecting minority interest insteady of Tanzanians who are suffering from pverty cause by chenge with his collegue..?chenge together with dowans wanatukomoa/wanatumaliza alive Watanzania through Tanesco for their own interest..?

business laws are openly whenever in this globe first to protect public interest for any case...but how they work it depend to the user.

It pains me when i see ....the DOWANS debate if have right to be paid by me and you through TANESCO.
 
Babu afadhali u said.....they do just arest him forever with no question!why we can't...? we still in a deep sleep!
 
mi naona sawa tu..ujinga na upumbavu wa serikali ya Tanzania hauwezi ukawa ni kisingizio cha kutaka kusamehewa pale wanapokiuka mikataba hata kama ni feki...they deserve it and they have to pay the cost of their ignorance...hakuna kuuma uma maneno katika hili...chenge kafanya kazi yake kama proffesional and for this congrats to Chenge....Si wamelikataa jiwe kuu la pembeni kazi kwao sasa

You are very wrong my friend. Kama unadhani ni Tanesco au Serikali ndio wanawajibika basi unapotea sana. Tunakatwa kodi nyingi watz badala ya kufanyia maendeleo, zinaporwa na hawa mafisadi kwa visababu vya kutengeneza kama richmond/dowans.
Napenda tu nikukumbushe kwamba Chenge alisomeshwa na serikali bure kabisa ili aje asaidie nchi yake na si vinginevyo. Anachokifanya ni kutugeuka na usaliti mkubwa. Angeitetea serikali hata kama imekosea maana ndio ilimtoa Bariadi kuja Udsm kwa sababu hiyo.
 
Chenge katoa ushauri wa kisheria, wapingaji mapendekezo ya Chenge wote, sijamuona hata mmoja akiyapinga mapendekezo ya Chenge kisheria kama alivyo shauri Chenge kwa kutumia vifungu vya sheria. Nnachokiona ni jazba na kupinga tu ili mradi mtu apinge.
 
Huyu mzee chenge huwa simuelewi kabisa,tofauti na ubunge ni kitu gani anachotaka ktk nchi yetu?mnakumbuka kabla ya uchaguzi wa spika 2010 alivyomtukana sitta hadharani?natumaini huyu ticket na visa anayo tayari kwenda kumalizia uhai wake nje ya nchi kama bilali na kutuacha watanzania na madeni tusiyoweza kuyalipa!
 
You know what, the blood of those girls the wife killed that night will trouble him. Kwa sababu sasa anaongea hovyo kama mwedawazimu. Tena sijui kwa nini hajanyongwa mpaka sasa anatamba tuu.

Tena kweli anyongwe kabisa hata kama anatumia uchawi kuna siku tuu huyo Chenge
 
Jamani msisahau kuwa hapa kinachotetewa ni pesa kwa manufaa ya CCM iliyowekwa madarakana kwa ufisadi wa aina hii.
 
Mkuu hii ni dharau kubwa kwa watanzania ambao kila siku tunatangaziwa mgawo wa umeme, mishahara ya walimu wanalia kila siku, reli serikali imeshindwa kuendesha kwa ukata, migomo vyuo vikuu kila siku watu vijijini wanakufa kwa njaaa alafu mtanzania mmoja anataka serikali ilipe Tsh.bil.94. hii si dharau ya maisha? huyu ni msaliti kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
watu kama yeye nchi za wenzatu hukumu yao ni............................. ....................................utamajilia from JOMBAAAAAAAAAAA
 
Jee kuna sababu yoyote ya maana kwa kutumia huduma ya mtu halafu usimlipe?

Huna Jipya wewe nafikiri na weewee ni Gamba Jingine!

Unamaana gani sasa? Kwahiyo unalipa nini sasa, umetumia kitu gani? wewe ni mwehu nini? Ebu Jaribu kuwa na Upendo wa Yesu!
 
Kulikuwa na Gamba gumu(Balali) Waliliondoa kiana na haya mengine matatu watafute namna ya kuyaondoa pia kiana, kwani uvummilivu wa wananchi ukifika kikomo itakuwa ni shida sana.
 
Mkuu umenena vyema. Chenge kama mwanasheria ana haki ya kufanya hivyo. Tatizo ni hao walioingia mkataba huo ambao pamoja na wanasheria wao. Pia kuna wanasheria walioshauri mkataba uvunjwe na kisha wanasema ni haki tozo ilipwe. Tuasiangalie tulioangukia, tuangalie tulipojikwaa.

Inaonekana wewe Chenge akikuambia bugia Mavi utabugia tu kisa Kasema Chenge!!Za mwenzio changanya na zakwako.
 
mi naona sawa tu..ujinga na upumbavu wa serikali ya Tanzania hauwezi ukawa ni kisingizio cha kutaka kusamehewa pale wanapokiuka mikataba hata kama ni feki...they deserve it and they have to pay the cost of their ignorance...hakuna kuuma uma maneno katika hili...chenge kafanya kazi yake kama proffesional and for this congrats to Chenge....Si wamelikataa jiwe kuu la pembeni kazi kwao sasa

mkuu not they, labda useme we, ukiwemo wewe pia. Kitakacholipwa ni kodi zetu wote ndugu.
 
Back
Top Bottom