AJABU: Chenge aitetea DOWANS ilipwe!

Huyu bwana damu yake ni ya kifisadi.Kama ufisadi ungewezekana kuwa inherited, tungeweza kusema ana genes za kifisadi.

Mimi Nashangaa kwa nini mpaka leo yuko kwenye system yetu.Ni lazima ana kitu extremely abnormal ambacho watu wengine hawana.
Kamati yake ya ufundi ni balaa!Anajua madhaifu ya sheria za Tanzania
Anatuliza kila kukicha
 
Back
Top Bottom