Ajabu: Balozi Seif Iddi apigiwa Saluti na Heshima zote na majeshi, Seif Shariff wampa Mkono

Nilikuwa nikiangalia TV sherehe za Mapinduzi.
Wakati wa Kutoka uwanjani, kabla ya kupanda gari kuna makamanda wa jeshi na Polisi, Shein,JK,Bilali walipigiwa Saluti ya heshima.
mara baada ya kuondoka hao, ilkuwa zamu ya Maalim seif, kwa bahati majeshi na polisi waliokuwepo hapo walimpa tu mkono tena baada ya maalim kutoa mkono na hakuna alienyanyua mkono kama Saluti, Makamo wa Pili wa Rais wa ZANZIBAR naye alipigiwa saluti ya nguvu.
jee imekaaje ktk Siasa zetu. jee maalim seif hatakiwi na Vyombo vyetu vya usalama?
maalimu.shida yake si.saluti issue kubwa kwake ni kuona pikpiki.kwenye msafara wake ni hiyo.inamtosha.
 
Naona munapiga makelele bora niwasaidie jibu. Jibu halisi ni kwamba; Hayatambui Mapinduzi ya 1964 kwa msimamo sawa na wanavyoyatambua viongozi wa CCM. Kwa maelezo zaidi kitafte kitabu cha Dr. Harith Ghassany "Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru"! Leo nakusaidia ila siku ya nyengine usilete mada kama hizi.
Kama hayatambui hayo mapinduzi leo alifuata nini?
 
Polee yake lakini kama ni halali yake kupigiwa saluti kwa nn hakupigiwa saluti? embu wataalamu watujunze
 
Watu wanapoambiwa Tanzania ni nchi ya mwisho kwa mambo mengi sana tukubali matokeo, ikiwa hadi ndani ya Karne hii ya 21 bado ndani ya nchi hii muna wanadamu wana mawazo PUMBA kama haya!!!! Halafu watu kama hawa ndio eti baada ya miaka fulani wanakuwa Watunga sheria, Mawaziri, Majaji na Wadudu wengine! Daima nitakataa kuitwa Mtanzania. Am proud to be Zanzibari.

nani kakulazimisha uwe mi tz?hata sisi tumewachoka watu walalamishi,wavivu na wategemezi!am proud of being mtanganyika!
 
Muafaka wa CUF na CCM unanikumbusha sana muafaka wa ZPPP na ZNP, tofauti moja tu safari hii CUF wamewazunguka wananchi wake wenyewe na watu wamejua lilikuwa swala la Kipemba na mafuta..Seif hawezi heshimika tena maana CCM hata wakiwa usingizini hawawezi kusahau kwamba Seif ni nyoka aliyevunjwa meno na wataendelea kumvunja meno kuhakikisha wanacheza naye ngoma ya kisukuma!
naona hukuyatendea haki majoka yetu ya kisukuma kwa kuyafananisha na maalim seif kwa sababu pamoja na kutolewa meno bado yana uwezo mkubwa wa kukaba, maalim seif ametepeta zaidi ya hapo.
 
Katika demokrasia ya kisasa kwa wenzetu huko nje vyama vinakubaliana serikali ya mseto/umoja iendeshwe vipi. Lakini kichekesho huko Znz eti sera zinazotekelezwa ni za CCM tu. Sasa sijui CUF waliingia ktk serikali kufanya nini. Nadhani shida yao ni kupata uwaziri.
 
Jeshi linalokosa utii kwa viongozi halali wa kiraia ni la kuogopwa kama ukoma. Swali la kujiuliza ni nani aliyewaambia wafanye hivyo? Mimi nadhani Wanajeshi wa uwanjani wasingeweza kufanya hivyo bila ya kupata amari toka juu. Na hii ni moja kati ya njia ya kuki- marginalize chama cha CUF. Hii ishu sio ndogo kwani inaonyesha ni kwa jinsi gani jeshi letu lisivyoheshimu viongozi ...
 
Nilikuwa nikiangalia TV sherehe za Mapinduzi.
Wakati wa Kutoka uwanjani, kabla ya kupanda gari kuna makamanda wa jeshi na Polisi, Shein,JK,Bilali walipigiwa Saluti ya heshima.
mara baada ya kuondoka hao, ilkuwa zamu ya Maalim seif, kwa bahati majeshi na polisi waliokuwepo hapo walimpa tu mkono tena baada ya maalim kutoa mkono na hakuna alienyanyua mkono kama Saluti, Makamo wa Pili wa Rais wa ZANZIBAR naye alipigiwa saluti ya nguvu.
jee imekaaje ktk Siasa zetu. jee maalim seif hatakiwi na Vyombo vyetu vya usalama?

Huyo Seif mbona alishanunuliwa siku nyingi?
 
Zile pumba za Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru ni kwa nyie mnajiona waarabu ama kama mnavyojiita "waafroarabia" mapinduzi yatadumu na mwarabu harudi kutawala Unguja!

Chama
Gongo la Mboto DSM.

Natafta 'house girl' naona wewe utanifaa, hem ni-PM nikufungishe mkataba.
 
Domo refu kama chupa,kazi umbea tuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nilikuwa nikiangalia TV sherehe za Mapinduzi.
Wakati wa Kutoka uwanjani, kabla ya kupanda gari kuna makamanda wa jeshi na Polisi, Shein,JK,Bilali walipigiwa Saluti ya heshima.
mara baada ya kuondoka hao, ilkuwa zamu ya Maalim seif, kwa bahati majeshi na polisi waliokuwepo hapo walimpa tu mkono tena baada ya maalim kutoa mkono na hakuna alienyanyua mkono kama Saluti, Makamo wa Pili wa Rais wa ZANZIBAR naye alipigiwa saluti ya nguvu.
jee imekaaje ktk Siasa zetu. jee maalim seif hatakiwi na Vyombo vyetu vya usalama?
 
Hawa wazenji mwisho wa siku watamkumbuka HOUR Maalim seif ndio atakimaliza chama cha Cuf kama anavyotekeleza ilani ya CCm

Mkuu naimani penye HOUR ulikuwa unamaanisha HR, mara nyingi blackberry hugeuza hr kuwa hour ilihal wewe ulidhamiria hr.
 
Natafta 'house girl' naona wewe utanifaa, hem ni-PM nikufungishe mkataba.
Weee Mpembe Mbishi hicho kitabu kimetoka lini?..yaani nakisubiri sana maana mtu huyu hatari na nataka kumsoma... Hivi kweli wewe unamuamini mtu huyu ambaye anawakusanya gengeni na kuwapa historia ili mradi kuwasafisha waarabu. Unajua ni kitu kingine kabisa kupigania haki ya WaZanzibar kuliko kujaribu kumuondoa makosa Sultan na hasa kwa kutumia Utumwa na Mapinduzi... He is making it even worse...Huyu Harith Ghassany ana sababu zake, lakini wewe je?..
 
nilikuwa nikiangalia tv sherehe za mapinduzi.
Wakati wa kutoka uwanjani, kabla ya kupanda gari kuna makamanda wa jeshi na polisi, shein,jk,bilali walipigiwa saluti ya heshima.
Mara baada ya kuondoka hao, ilkuwa zamu ya maalim seif, kwa bahati majeshi na polisi waliokuwepo hapo walimpa tu mkono tena baada ya maalim kutoa mkono na hakuna alienyanyua mkono kama saluti, makamo wa pili wa rais wa zanzibar naye alipigiwa saluti ya nguvu.
Jee imekaaje ktk siasa zetu. Jee maalim seif hatakiwi na vyombo vyetu vya usalama?

saluti haina umuhimu wowote kama huna sapoti ya wananchi.. Jee, ni nani kipenzi cha wananchi kati ya hao uliowataja na maalim sefu?

Kumbuka marehemu diana wa uk alisema yeye angependa kuwa malkia wa nyoyo za wananchi na kule kuachana na prince charles hakungemuathiri chochote hata kama hatapata saluti toka kwa majeshi na polisi wao lakini alichotaka yeye ni umalkia wa nyoyo za wananchi..
 
Weee Mpembe Mbishi hicho kitabu kimetoka lini?..yaani nakisubiri sana maana mtu huyu hatari na nataka kumsoma... Hivi kweli wewe unamuamini mtu huyu ambaye anawakusanya gengeni na kuwapa historia ili mradi kuwasafisha waarabu. Unajua ni kitu kingine kabisa kupigania haki ya WaZanzibar kuliko kujaribu kumuondoa makosa Sultan na hasa kwa kutumia Utumwa na Mapinduzi... He is making it even worse...Huyu Harith Ghassany ana sababu zake, lakini wewe je?..

Kitabu tayari kimeshatoka hata mimi ninacho cha kwangu na ni Mwiba kwa wale wote ambao walishawapotoa vijana kwa muda mrefu! Hayo maneno mengine uliyoaandika unayajua wewe na baadhi ya Watanganyika wengine tu mimi kwangu hayana umuhimu na wala sikuyazingatia hata hivyo hayakunishangaza sana kwani najua kosa sio lako bali munaendeleza kuzidumisha FIKRA za Mwenyekiti wenu.
 
Kimetoka lini wakati niliagiza wakanambia kitatoka karibuni?.. nimeona tu cover ya kitabu kitakavyokuwa.. kinapatikana maktaba gani?..Huna sababu ya kutoamini ya Harith kwa sababu utumwa jadi.. Zidumu fikra za Sultan alowapaka chokaa mama zenu ati walikuwa wanatisha kwa weusi hivyo weupe wa chokaa unawapa nuru kidogo...
 
Mkandara
Kitabu nimekisoma upuuzi mtupu, mtunzi inaeleweka wazi adhma yake ni hizbu mkubwa; pumba tupu lengo ni kumpaka matope mwl. Nyerere eti ndiye aliyekuwa kinara wa mapinduzi, dhana nzima ni kutaka kufanya waunguja waliupenda utawala wa kiarabu; kama unataka kusoma porojo za alinacha kitafute.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Back
Top Bottom