Aise,siku hizi ndoa zimekua mzigo,ebu mcheki huyu jamaa!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Tazama ndoa za wa2 kutokana na maisha yalivyobadilika na watu kuchokana. Jamaa alikaa na cheti chake cha ndoa kwa masaa 4 akikitazama mara mkewe akamuuliza vp leo umekumbuka siku ya ndoa? Mume akamjibu HAPANA
'NATAFUTA EXPIRE DATE YANDOA SIIONI....GUDNITE!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom