hizi ndoa wa2 wanalazimishwa au...

Rog3rz

Member
Jun 21, 2012
44
26
Jamaa alikaa na chet chake cha ndoa kwa masaa 4
akikitizama, mara mke akamuona akamuuliza mume
wangu leo umekumbuka cku yetu ya ndoa? Mume
akajibu hapana, ila nilikua natafuta EXPIRY DATE LAKINI
MBONA SIIONI?
 
Daah! Mbona hata birth certificate hakuna Expiry date!
 
Back
Top Bottom