Ndoa ndoano!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Jamaa m1 alikaa masaa ma4 anakichunguza cheti chake cha ndoa, mkewe akamuuliza kulikoni? Jamaa akajibu "Natafuta Expiry Date siioni!!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom