Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,221
Wakuu hebu tujuzane, hivi ile huduma ya Airtel free internet kuanzia saa tano wameitoa? Mbona mida ikifika nikijaribu kuunganisha net inakula ela? Yaani wamerudisha ile huduma ya 2500/= halafu wanabana offer ya usiku. Mbona hivyo? AMA KWELI, MBUZI WA MASKINI HAZAI.....