Airtel mbona mnatufanyia hivi???

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,221
Wakuu hebu tujuzane, hivi ile huduma ya Airtel free internet kuanzia saa tano wameitoa? Mbona mida ikifika nikijaribu kuunganisha net inakula ela? Yaani wamerudisha ile huduma ya 2500/= halafu wanabana offer ya usiku. Mbona hivyo? AMA KWELI, MBUZI WA MASKINI HAZAI.....
 
Kuna mtu nilimuuliza alinambia free internet imeondolewa. Pia nilikwenda makao makuu ya airtel pale moroko, wakanambia wameondoa offer hiyo ila wanawapa 3GB bure wateja wapya wanaonunua modem zao.
 
nashukuru ndugu kwa maelezo yako. Maana nilikuwa naitegemea sana. Poa tu, tutajifunza hata kuwachakachua tu.
 
ooh hamia airtel kumbe hata vyumba vya kulala wageni hawana..kweli kupata div mwanaasha pia inahitaji maandalizi..
 
Back
Top Bottom