sweetdada
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 517
- 169
@Pdiddy...afadhali umetoa na picha kabisa mana ukisema bila ingekuwa tunawaonea.
Airport yetu jamani inatia kinyaa na sio kama wahusika hawaoni la hasha bali ni uzembe wa hali ya juu
airport hata generator nayo ni ishu jamani..kuna siku umeme ukakatika tulikaa lisaa limoja na nusu hakuna hata generator iliyowashwa
wanapita wadada kutangazia cancellation ya ndege..afu ndo tunaiita international airport aibu tupu.unajiuliza kama hii iko hivi hizo nyingine ndogondogo je?