Airport ya dar es salaam (jnia) inatia kinyaa jamani

sasa wewe unaonyesha haukuwa msafiri, bali aidha ulikuwa mtu wa lifti, au umeenda kupokea wakubwa!...
Hapo kwenye red ulikuwa unatafuta nini nje...kwanini hukukaa ndani kama wewe ulikuwa abiria?...
Au ni kiwanja gani chenye facilities zinazoweza ku'accomodate raia wote wanaoenda airport ku'refresh mind?
Hatuwezi madai mengine ni ya uswahili zaidi!

mkuu black moses
embu tusaidie yale mabench pale nje jnia yanakaliwa na wanaosubiri abiria pekee ama???mbona abiria wengi wakisubiiri ndege wanakaa nje ..embu saidia ukwweli na wewe ujisikie siku moja umekaa kwenye uwanja wa ndege ulio na hadhi..usikae tu ili mradi uko kwenye ac unarudi kwako..kaa ufikirie sikumoja mwanao atapita uwanjan na kufurahia baba alifanya kazi haapa kweli walitumika...tussishi kama tunakufa kesho just kujaza matumbo tuangalien kesho mkifa mtajibu nini mbele za mungu si wote wanabahatika kuomba msamaha wakati wanakufa so tuwe makini na hili...
Gday mkuu
bm
 
Wewe una matatizo...Kwanini usiwaulize TAA pale ofisini kwao unakuja kubandika huku?...
Muda wote uliopo hapo JNIA kama mdau unashindwa hata kutoa maoni yako kwenye ofisi za Maintenance au hata kwenye suggestion Box?
Nijuavyo mimi stakeholders ni sehemu ya huduma, sijui unaona raha gani kuandika badala ya kutoa ushauri, wakati ofisi zenu na za Mafundi ni pua na mdomo!...yES, nimekumbuka, mpo watu wenye silika ya Kulalamika tu, bila kuchangia solution!
Acha udaku bana...Tatizo hilo linajulikana na karibia watu wote wa hapa Uwanjani, na juhudi zinafanyika kulisolve!!...
Angalia hii maneno Ndugu!

Wewe bila shaka unafanya kazi uwanja wa ndege, na pia kuna uwezekano kabisa upo, ama ni kibaraka wa Management. Mbona unakuwa mkali sana unapoambiwa ukweli. Maintenance inahitaji upembuzi yakinifu for how long? Management kama mbovu lazima iambiwe ili iwajibike. Hatutaacha kupiga kelele eti kisa kuna watu kama ww ambao kazi yao ni kupinga maoni ya watu wasoiridhishwa na utendaji wenu. Hata ninyi wenyewe hamuoni aibu wageni mbalimbali wanapita hapo na huko juu kumeoza? Huwa hamuangalii viwanja vya wezetu vikoje? Na kila mwaka mnaomba bajeti kwa ajili ya kukarabati majengo yenu. Hii inanisikitisha sana kuona kuna watu wanakuwa wako nyuma hata kwa kufikiri kidogo tuu. I hope labda this time nikshuka hapo nitakuta kuna marekebisho. Maana ya mwaka jana sikutamani hata kukaa dk moja hapo uwanjani. Ni nyumbani ndiyo lakini mambo mengine ni " too much" tunatakiwa tutumie macho kutatua matatizo bila hata kutumia akili.
 
Haiwezekani kuinvest katika ukarabati wakati Terminal III inajengwa! (Daah, lakini na mimi moyo unauma maana zile conveyor belt zao zimekwangua begi langu!)
 
mkuu wakumwitu
Hawa ndio wanagawa tenda kwa kujuana na kwa kuwa awafwatiliwi wanaishia kujaza wajinga na watu kufanya kile kiwanja sehemu ya kufanyia kazi...tunao ushahdi kuna kampuni ilipewa tenda ya kuchukua wafanyakazi wa TAA..na ililalamikiwa sana kwenye tenda inaonyesha magari yako fresh na yana A/C ndugu kwa kifupi tu watu walikaa kimya mwisho wakafunga sura wakaongea ndio yakaondolewa kisa mama mmoja mhusika amekula 10P anajiuliza atawaondoaje???hizi ni takataka za kutimua zisirudi tena...

MKUU BLACK M KWA MAPENZI MEMA NA YA WATOTO WAKO SIKU WATAKAPOSAFIRI NA NDEGE

1)TUSAIDIE ULE UJENZI WA NGAZI KULE NDANI UNAISHA LINI NA JE MIEZI 3 IMEASHINDA KWA NINI MNASHIKILIA KAMPUN YA DAIKIN WAKATI WAKO WENGI WANATENGENEZA LIFT VIZURI

2))TUSAIDIE MKUU KULE JUU MNATARAJIA KUREKEBISHA LINI...???KIFUPI ZILE HELA MNAZOCHUKUA KWA AABIRIA ZINAENDAGA WAPI??KWA NINI TUSIWAJAALI WANAOTOA HELA ZAO
 
P didy usikute huyo jamaa anafanya kazi hapo maana naona kaguswa kwenye ukweli halafu anatokwa na povu
 
Black M nasikitishwa sana na shule uliyosoma ambayo uliambiwa hata ukiambiwa ukweli pinga mpaka ufe. Inavyoonyesha labda na ww unahusika na huo uharibifu ndiyo maana unakuwa mkali. Hatukai kimya tutasema tuu. Na nikipita hapo this time nitapiga picha uozo wote nakuutundika hewani. Kukaa kimya kwa sisi watanzania ndiyo kumetufikisha hapa. Watu mnageuza ofisi za umma kuwa makampuni yenu binafsi.
 
Jamaa yangu mmoja aliyepitia airport za mombasa na nairobi kaiita ya Dar kama 'manzese kwa mfuga mbwa' nikacheka huku nikiumia roho..
 
mkuu wakumwitu
Hawa ndio wanagawa tenda kwa kujuana na kwa kuwa awafwatiliwi wanaishia kujaza wajinga na watu kufanya kile kiwanja sehemu ya kufanyia kazi...tunao ushahdi kuna kampuni ilipewa tenda ya kuchukua wafanyakazi wa TAA..na ililalamikiwa sana kwenye tenda inaonyesha magari yako fresh na yana A/C ndugu kwa kifupi tu watu walikaa kimya mwisho wakafunga sura wakaongea ndio yakaondolewa kisa mama mmoja mhusika amekula 10P anajiuliza atawaondoaje???hizi ni takataka za kutimua zisirudi tena...

MKUU BLACK M KWA MAPENZI MEMA NA YA WATOTO WAKO SIKU WATAKAPOSAFIRI NA NDEGE

1)TUSAIDIE ULE UJENZI WA NGAZI KULE NDANI UNAISHA LINI NA JE MIEZI 3 IMEASHINDA KWA NINI MNASHIKILIA KAMPUN YA DAIKIN WAKATI WAKO WENGI WANATENGENEZA LIFT VIZURI

2))TUSAIDIE MKUU KULE JUU MNATARAJIA KUREKEBISHA LINI...???KIFUPI ZILE HELA MNAZOCHUKUA KWA AABIRIA ZINAENDAGA WAPI??KWA NINI TUSIWAJAALI WANAOTOA HELA ZAO

Kwanza DAIKIN siyo kampuni ya lift....ni kampuni ya air conditionaers. Na kampuni hii naijua sana ni ya kihuni sana. Wale wahindi nawajua sana na niliwahi kufanya nao kazi wakaniboa nikasepa. Hii kampuni na kiboko kwa 10% na ndiyo inapata tenda nyingi za serikalini kwa sababu ya 10%.
 
Mkuu namjua na anajua uchafu wake ndio maan amegoma kuendelea kabla atujaweka mambo hadharani
 
Kwanza DAIKIN siyo kampuni ya lift....ni kampuni ya air conditionaers. Na kampuni hii naijua sana ni ya kihuni sana. Wale wahindi nawajua sana na niliwahi kufanya nao kazi wakaniboa nikasepa. Hii kampuni na kiboko kwa 10% na ndiyo inapata tenda nyingi za serikalini kwa sababu ya 10%.

Mkuu yaani imewaka Wakurugenzi wote na meneja wa TAA kwenye mifuko yao..hawana adabu kabisa kabisa ....na mwaka sasa watanzania tunakaa kimya na huku watu kama BM wanataka tuangalie BM mwaka huu Tunafia kidondani Best take usituke ushauri chukua chako mapema si umeona kabla ya Augustino ajawashukia lindon
 
Back
Top Bottom