Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Nimekuwa msafiri wa ndege mara nyingi sana tangu mwaka juzi hizi sehemu ziko wazi leo nimeona niwaulize ndugu zangu je hii airport ina management ama ndio uongozi kama wakina makamba jamani??? hii ni aibu rais upiti kule ndio maana auoni uozowanaofanya wafanyakazi wa mamlaka ya uwanja wa ndege...kila sehemu kwenye gape wameandika DAIKINI UNDER MAINTANANCE jamani huu upuuzi mpaka lini embu waziri husika kuweni sirrias jamani najua mwaweza danganya wa nje imetokana na mabomu je sie tunaopita miaka mitatu sasa mnatuambiaje
Huuu ukarabati embu serikali fwatilien jamani hii kampuni inajenga ziaid ya mwaka hizi lift..na huko juu sasa hawa wanaootoa malipo lazima watueleze wanatoaje watu wanaishia kutubandikia matangazo uwanjan na kuacha roof ziko wazi....