Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

Nimei-Google kumbe ndiyo hii. View attachment 755463
Ngoja tukuoneshe iliyotua Dar.
IMG-20180424-WA0047.jpg
IMG-20180424-WA0054.jpg
 
Aisee! wamejitahidi sana,kwa watu wanaosafiri sana wanaijua hii ndege huwa tunaenda kuipandia Beijing...huku huwa tunaambiwa uwanja mdogo leo imetua!
Uwanja ni mdogo kweli pia hakuna facilities za kuwezesha kushusha abiria kwa wakati mmoja bridge ni moja hakuna inayoweza fika katika decker ya kwanza...
 
Bashite lazima aende hapo aingie ndani kuwapa pole!! Ila sijui atazungumza lugha gani sasa maana alikimbia umande kama demi
 
What has Magufuli got to do with this? Kama thinking ya WaTz wengi ipo hivi basi tunayo safari ndefu. Mlitaka iende ikatue wapi na mmeambiwa ni emergency Magu ndio amesababish Hali ya hewa kuwa ilivyo
At least mngempa credit Mheshimiwa JK maana miradi yake mingi ilikamilika pamoja na uwanja huu. Let's be serious ingetua chattle je ingekuwaje??
Kuna sehemu Magufuli anapewa credits au ni Sacarsm ?
 
kwa kutembelewa na hili babu lake bombadya kwa kweli watz tutembee vifua mbele tupo ktk laiti tlaki
 
Back
Top Bottom