Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 943
- 888
Khah!Kuna kipofu mmoja alipata kutibiwa macho akaona siku hiyo alipoona kitu cha kwanza kukiona ilikuwa ni punda, Baada ya kuona kwa muda mfupi akarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Alipokuwa anaambiwa kuwa gari ni kubwa alikuwa analinganisha na ukubwa wa punda kwa kila kitu hadi nyuma.